Mau Mau
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 689
- 504
Jeshi la polisi Tanzania limekuwa ktk wakati mgumu ktk jamii siku za karibuni, lakini kwa kinachofanyika NGORONGORO mnyongeni haki yake mpeni.
Wilaya hii miaka nenda rudi imekuwa na matukio mengi ya unyang'anyi wa kutumia silaha na ujangili lakini kutokana na jiografia huwa hayasikiki.
Kwa hili RPC ARUSHA tunampongeza sana kwa intelijensia yao wilayani hapa. Majuzi zimekamatwa bunduki kumi za kivita na hata sasa wameendelea kukamata silaha nyingi nzito.
Mungu azidi kuwajalia kheri ktk kusaidia amani ya nchi hii inatamalaki.
Polisi NGORONGORO angalau tunatambua jeshi letu lipo