Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Hivi mfano mtu akikutwa anapika majani ya mmea wa bangi anatumia kama mboga ya mchicha ni kosa na je anaweza lewa?
Unaripuka kishenzi. Sumu ya bangi haipatikani hadi ichomwe tu, inapatikana hata kwa kuiloweka na kunywa, kuchemsha kama mboga na kuila.Hivi mfano mtu akikutwa anapika majani ya mmea wa bangi anatumia kama mboga ya mchicha ni kosa na je anaweza lewa?
Bangi haina sumu mkuu.Unaripuka kishenzi. Sumu ya bangi haipatikani hadi ichomwe tu, inapatikana hata kwa kuiloweka na kunywa, kuchemsha kama mboga na kuila.
Neno wavuta bhangi ni neno la ujumla. Lakini kiukweli kuna watu wanatumia bangi kwa kuinywa kwa njia ya chai, ama kuila kama mboga kwa minajili ta kuripuka.
Bangi popote itakapokumbana na majimaji ya damu ya mwili lazima itoe matokeo chanya.
Ni kama tumbaku inavyofanyakazi yake.
Ndiyomaana kuna watu wanaitumia tumbaku kama kiburudisho, lakini si kwa kuvuta.
Kuna watu hushindilia mdomoni ama ukeni. Wengine huitafuna nakunywea pombe. Wote hao ni kundi moja na madhara yake yanafanana.