Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,551
- 31,772
Wadau nimepata taharifa kuwa hii kampuni inauza hisa, kiwango cha chini ni hisa 100 kwa 85000...
Je kwa uelekeo wa uchumi wetu na kampuni husika hizi hisa zinaweza kuwa na tija? Je kuna uwezekano wa hii kampuni kukua zaidi ya hapa, maana mpaka sasa kuna taharifa kuwa minara yote washauza..ofisi zote wamepanga, je fixed assets ni zipi walizonazo ikitokea kampuni inafirisika?