Tanzia kapteni mkandala Rufufu mtafsiri wa movie mbalimbali amefariki dunia

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Kwa taarifa nilizopa masaa 6 yaliyopita mkandala rufufu amefariki dunia.

Alikuwa anatafsiri movie zs kizungu,kihindi,kichina,kiswahili na kuweka vionjo.vya kihaya.

RIP mkandala Rufufu
 
Tupe source manake mnatuchanganya.
Tuchukue kipi ?
Ilikuwa imekanushwa.
 
Kwa taarifa nilizopa masaa 6 yaliyopita mkandala rufufu amefariki dunia.

Alikuwa anatafsiri movie zs kizungu,kihindi,kichina,kiswahili na kuweka vionjo.vya kihaya.

RIP mkandala Rufufu

Watanzania tunajivuruga sana yaani mambo yanakuja haya eleweki, haya elezeki na haya tafsiriki duuh.!! Harafu tunaishi kama kawaida! Kazi sana.
 
Ni kweli gwiji wetu wa kutafsiri movie "rufufu" ameshafariki!.Ni msiba kwa wapenzi wa sinema!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom