Yahusu kupendwa na michepuko

Yahusu kupendwa na michepuko

kipedo

Senior Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
166
Reaction score
84
Wanajamvi mm nimkulima wa matikiti mkoani pwani na las mwananyamala lakini ktk Kazi yangu uwa nakunala kwa mama lishe kilanikienda Kula wadada wana niganda kamaluba wanaomba namba nikiwapa tuu silali kwalaha utasikia sms mala simu inaita sasa wife wivu balaa akijua tuu
 
Hilo jina tu wataachaje kukuganda huenda wanataka kukuvaa jichunguze tena na tena.
 
Magonjwa yanayoshambulia ubongo yametamalaki kila sehemu. Eee Maulana tuokoe [emoji120] [emoji41]
 
Back
Top Bottom