Kati ya watu ninaowasifu ni pamoja na Gwajima. One day policcm walienda nyumbani kwa Gwajima bila kufuata sheria ya upekuzi na ukamataji Gwajima akawatimua kama mbwa
Kwa kiongozi yeyote atakayesoma thread hii kama utakuwa mzalendo wa kweli naomba ulifanyie kazi, jana nimekwenda hospital ya Amana, kwa kuanza tu mapokezi kuna mkaka mmoja amenipa namba na...
Ni wazi kuwa moja ya jukumu la expatiate nchi yoyote ile duniani ni kufundisha ujuzi unaohitajika kwa wazawa wa nchi husika, nimefanya uchunguzi ktk migodi mingi nchini kuna expatriates wanakuja...
Hali hii inatishia afya za wagonjwa wanaofika katika hospitali hii. Matarajio ya wengi ni kwamba hospitali ni sehemu ambayo mgojwa hupata huduma za afya. Jambo hili katika hospitali hii ni kinyume...
Habari za leo wana JF,
Niende moja kwa moja kwenye hoja hii yenye kuhitaji majibu sahihi. Nimekuwa nikiwaza sana kwamba tangu vita dhidi ya madawa ya kulevya iliyoanzishwa na RC Makonda ambayo...
Amani iwe nanyi wanajamvi!
ndio unavye weza kusema kwa jinsi mambo yanavyo endelea Nchini. Kifupi ni kwamba tumefarakanishwa tumekubali kufarakana. Hatuko wamoja tena.Kuna watanzania daraja la...
Amemuonya akiendelea watamshughulikia kwani ibadani si pahala pa vurugu.Ameshauriwa aendapo ibadani kusali asiongozane na makundi ya watu wenye nia ya kuleta vurugu vinginevyo atakutana na mkono...
Tanzania bwana yataka watu wote tuwe sawa, imekaaje mtumishi mwenye mali/utajiri Mkubwa achunguzwe? Je kumbe watumishi tunatakiwa kuwa namaisha ya kati au chini? Au wote wenye utajiri n ni wauza...
Hii kitu sasa imeanza kuwa inaboa maana kwa miezi kadhaa sasa ujumbe ni ule ule tu kila ukiangalia tv,utadhani hakuna uozo mwingine kwenye jamii inayopaswa kumulikwa. Sasa sijui Masoud Kipanya...
Kuna uwezekano kwa HESLB kushindwa kukusanya pesa zake kkutoka kwa wanufaika wa mikopo kwani baadhi yao wameacha kazi baada ya kujikuta wana salio dogo kwenye akaunti zao baada ya makato.
Na...
Mda huu nimetoka kwenye choo cha kulipia ghafla kuna mtu ambae wakati huo huo ametoka nikaingia mimi lakini nilichokiona............hata kipofu angemfata akafanye marekebisho.
Cha kufurahisha...
Wakuu habari za shughuli na poleni sana kwa mihangaiko ya hapa na pale,tumeshuhudia mtuwakiibuka na kusema yy ni ndugu ya Bishop gwajima, na hivyo kuzungumza mengi juu ya mfano wa utetezi wa yule...
Habari wanaJF,
Waziri Makamba na timu ya TRA, Polisi,TFDA na NEMC wavamia kiwanda cha konyagi na kukuta viroba vilivyopigwa marufuku vikitengenezwa.
Baadhi ya mameneja wa Bar za jijini Dar...
Mtumishi wa Umma atakayeshindwa kuwasilisha cheti cha elimu na taaluma au “Index number” ya mtihani ili zihakikiwe na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), itakapofika tarehe 1 Machi, 2017atakua...
Ili kurahisisha ukusanyaji wa kodi ya majengo katika halmashauri nchini, TRA ingeweka mfumo wa kutambua wamiliki wa majengo walioajiriwa ili mishahara yao ikatwe kodi hiyo ya majengo kupitia...
Ni siku nyingi sana Makamarada wangu Mrisho Gambo na Amos Makala zimepita tokea mliache Jiji letu hili la Maraha na Karaha la Dar es Salaam ila nimefarijika mno kusikia kuwa mnakaribia ama kuja...
Habari wapendwa,
Jana kuna barua ilikuwa humu JF kuhusu Abdi Mruma kufutiwa shahada yake ya sheria baada ya kugundulika alikuwa akighushi alama alizokuwa akipata.
Huu mchezo wa kughushi matokeo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.