Asenga DAS wa Rombo awanasa wauza gongo/bangi live Rombo

ray jay

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,084
485
a637a5e5241fa0c2e8add05a23cc067e.jpg
c75f9e6eb913b6a352e905bfd48c192e.jpg
4ffc59c3348314c90834ad7ddd6e64a7.jpg
Rombo tumepata bahati kubwa ya mkuu wa wilaya na katibu tawala wa wilaya

Misokoto 70
Lita 60 gongo
Rombo bila pombe inawezekana.
80669819d292bfa38dea1dc950369b02.jpg
c5772b7ed6c83079d76e3efb7b864a88.jpg


BANGI NA GONGO LIVE ROMBO MAMSERA.
KWA MZEE JAMES..
HA HA HA
Mtoto Wa Fundi Cherahani(MFC): Hodi??
Muuzaji. : Nani?
Mtoto F C : Mimi mtoto wa fundi mshoni.
Muuzaji : unasemaje?
MFC. :Siunajua tena Waziri mkuu kazuia viroba mzee KIU IMENIBANA MZEE NISAIDIE

Muuzaji : lakini bei imepanda kiglasi elfu2 na sigara Kubwa miatano,upo tayari??!!

MFC : haina shida mzee ata elfu tano Kiu imenibana nifunguliie mzee fasta nisepe.

Muuzaji:kaa hapa lipa kabisa.haya sawa msokoto huu glasi yako hii kunywa sigara kavutie hukooo.

MFC: Sawa mzee unajua maji haya makali mzee wacha nilambe lambe kidogo

Muuzaji:haya ngoja niudumie wengine..

MFC: (meseji Bosi DC eh wale unaowatafuta sanaaa hapa Rombo wameshaniuzia sasa maafande wakichelewa tu itabidi ninywe nakuvuta hii kitu nami siwezi nashikashika tu hapa mafuta tayari...)
Mara maafandehaooooo kamiliiiiiiigado....KIMYA KIMYAAAAAA
AYA MAAFANDE ENDELEENI NA FANI YENU MAMBOOOO HAYOOOOO LIVE....Kofia yenye we yaurithi hiiii... Nikivuliwa hapa aibu

NAOWAONA SHILAWADUU NAWAONA...

[HASHTAG]#ROMBOBILABANGIPOMBEHARAMUINAWEZEKANA[/HASHTAG].

Mwanaromvo toa taharifa kwa wakati ofisi ya mkuu wa Wilaya Rombo tuifanyie kazi

Meseji:0715429738

Asenga Das Rombo
KAZI TU.
 
Ulishawah kukamata Lita moja?? Unajua Lita 50 zinaua maini ya watu wangapi??
Hiyo ni kazi ya kufanywa na constable mmoja tu wa polisi, siyo DAS mzima anaacha kazi ofisini anaenda kukamata tu dumu tuwili twa gongo na vimisokoto sijui sabini. Nchi ya ajabu sana hii.
 
Back
Top Bottom