Unasema umekuwa unafuatilia mikoa mbalimbali, halafu sasa wauliza kwetu!!! Kwetu wapi, au Rwanda?Nimekua nikifuatilia hali ya uwepo wa dawa katika vituo vya kuolea huduma za afya katika mikoa mbalimballi hapa nchini..nimegundua kua hali kwa sasa inaridhisha..je huko kwenu hali ikoje?tuchangie hii thread
Acha upuuzi. Hospital hazina hata gloves za kufanyia usafi ije iwe dawa. Unaongea ukiwa nje ya system. Tuulize sisi tukueleweshe vizuri. Taja hospitali ulizopita kuangalia hilo tatizo. Naimani kuna watu wanafanyia kazi kwenye hospital hizo. Usilete ngonjera za kibashite hapa. Au bashite ni kaka ako?Nimekua nikifuatilia hali ya uwepo wa dawa katika vituo vya kuolea huduma za afya katika mikoa mbalimballi hapa nchini..nimegundua kua hali kwa sasa inaridhisha..je huko kwenu hali ikoje?tuchangie hii thread
Hapana kaka..be frank fuatilia hapo patakua na shida ya walioko hapo..kwa sasa gloves especially `examination gloves` zipo nyingi labda ongelea vitu vingine.Acha upuuzi. Hospital hazina hata gloves za kufanyia usafi ije iwe dawa. Unaongea ukiwa nje ya system. Tuulize sisi tukueleweshe vizuri. Taja hospitali ulizopita kuangalia hilo tatizo. Naimani kuna watu wanafanyia kazi kwenye hospital hizo. Usilete ngonjera za kibashite hapa. Au bashite ni kaka ako?
Chanjo zipo??????Nimekua nikifuatilia hali ya uwepo wa dawa katika vituo vya kuolea huduma za afya katika mikoa mbalimballi hapa nchini..nimegundua kua hali kwa sasa inaridhisha..je huko kwenu hali ikoje?tuchangie hii thread
Naomba uniambie ni hospitali gani hiyo?Hapana kaka..be frank fuatilia hapo patakua na shida ya walioko hapo..kwa sasa gloves especially `examination gloves` zipo nyingi labda ongelea vitu vingine.
Kuna watu wanaongea wakiwa huko mashambani hawaelewi ukweli wa mambo.Chanjo zipo??????
Mkuu kuna watu wapo mgahawani wanahadisiana pengine alienda Hosp akapata Panadol akajiona kapata dawa zote. Watu wako busy na swala la kolomije. Wamesahau swala la Huduma za afya nchini. Bashite aki step down tunarudi kwenye afyaAcha maneno weka Data!!
Tunatumia Mfumo wa taarifa,unaitwa DHIS,au kiswahili Mtuha,Kwa Dawa tunatumia Mtuha #4:-Availability of Tracer Commodities;Bado hatujatoboa;Kilichotusaidia wapiga Kelele wamenyamaza baada ya kuona ngoma nzito!
Ili twende sawa,tuwe na 577B kwa dawa na Vifaa tiba kwa mwaka,Au Tuwape wananchi wote bima (Universal Health Insurance Coverage).
Sibezi juhudi za CHF ila ni ulaghai Mkubwa tuone yaani antibiotics zilizopo ni Amoxylline,antipain ni Paracetamol na mseto tutafiki tuAcha maneno weka Data!!
Tunatumia Mfumo wa taarifa,unaitwa DHIS,au kiswahili Mtuha,Kwa Dawa tunatumia Mtuha #4:-Availability of Tracer Commodities;Bado hatujatoboa;Kilichotusaidia wapiga Kelele wamenyamaza baada ya kuona ngoma nzito!
Ili twende sawa,tuwe na 577B kwa dawa na Vifaa tiba kwa mwaka,Au Tuwape wananchi wote bima (Universal Health Insurance Coverage).
Nenda kawaulize Angola.Kwenu hata kama Angola