Kupotea kwa gazeti la Jambo Leo

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,303
23,055
Ni takribani wiki sasa silioni hili gazeti pendwa mtaani.
Tafadhali naombeni kujua taarifa zake.
 
Kampuni imekuwa ikiendeshwa kwa hasara, and currently Yusuf Manji hayupo tayari ku invest more money from his pocket sababu ya mambo yanayoendelea, kipindi cha nyuma Yusuf alikuwa anagharamia mishahara na gharama nyingine yeye personal, sasa hivi kila kitengo kinachohitaji pesa kutoka kwake anafunga.
 
Kwa hiyo na team Yanga inaweza ikatemeshwa mzigo anytime soon au?
 
kilichoipata jamba leo kimeipata yanga vete nini dokta panjuani wa panjuani sasa apumulia mashine kudadeki
 
Back
Top Bottom