Basi nilipokuwa najiandaa kuandika hii mada nikamkumbuka nyoka mwenye makengeza. Nikashangaa kweli nikamkumbuka kitimoto mwenye
Mapembe
Chongo
Mikia miwili
Mguu mmoja
Kwa hakika huyu ni kitimoto...
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imeruhusu hostel mpya za chuo kikuu cha Dar es Salaam, kuanza kutumika kuanzia wiki ijayo.
Kwakweli hostel ni nzuri sana na ndani pia wamepatengeneza vizuri...
Asalam alleykum wana bodi.
Leo kuna jambo napenda tulijadili kama jamii kupitia hapa kwenye jukwaa letu lenye hadhi kitaifa na kimataifa.
Niende kwenye mada, nimekua mtumiaji wa mitandao ya...
Imeanzishwa tabia mpya ya kuvuka mpaka siku za Jmosi na kwenda kula mirungi nchi jirani na baadae kurudi nyumbani.
Wanaoorudi nyumbani huwa hawachukui hata mti mmoja wa mirungi.Je wakipimwa na...
Hili suala la Lema limenifanya nicheke saana lakini baada ya kicheko ni kahuzunika saana pia. Sababu kubwa iliyonifanya nicheke ni kwamba ilinikumbusha siku moja nikiwa naishi na babu na bibi...
wana JF
Salaam
Siku moja baada ya madhara ya mvua kubwa iliyonyesha na kuonekana katika mikoa ya Daresalaam, Pwani, Morogoro, Ruvuma, Iringa na maeneo kadhaa ya nchi na watu kadhaa kuathirika na...
Baadhi ya wananchi wanalalamika maisha magumu huku wengine wakiwabeza wanaolalamika. Wewe unayebeza unaweza kutaja mbunge wako,diwani na serikali kiujumla wamewasaidiaje wananchi katika maendeleo...
Wakuu,
kuna kitu sijakielewa kinachohusu mitandao, na hasa Jamii Furums.
Nimeingia Jamii Forums kwa kutumia browser, kuna mahala nimeklik, nikakutana na maneno yanayoainisha aina za watumiaji...
Hivi majuzi nilimsikia katibu wa chama cha walimu Tanzania ndg Olouch kuwa endapo serikali isipokubali kukaa meza moja na walimu kujadili madai yao basi hapo tarehe 1 March chama hicho kitatangaza...
JINSI YA KUENDELEA KUWA MASIKINI
1.Usiamke mapema.
2. Usipange matumizi ya Pesa zako.
3. Usiweke akiba mpaka utakapo-kuwa tajiri.
4. Chagua kazi. Mimi nimesoma siwezi kufanya hii kazi.
5...
Wadau mbona mimi naona kama kula maini ni kula uchafu na sumu kwasababu maini ndiyo chujio ya mwili wa mnyama yeyote lakini cha kushangaz watu wanakimbilia sana kuyala?
Nini special kwenye...
Sifa moja kubwa ya shetani ni UONGO. Yeye ndiye muanzilishi na baba yake uongo.
Ninashangaa kwa nini Huwa kuna Mahojiano kati ya Mapepo/Mashetani na watu/wachungaji/mashehe na kisha sentensi...
Kuna mantiki gani kuingia ktk maghala ya wafanyabiashara na kufungia shehena za viroba zisiuzwe?
Utasikia wanasema tunasubiri tamko la serikali.
Tamko lipi? Si mlisema mwisho ni Machi 1...
TUKIWA TUNAFANYA MAMBO MBALIMBALI IWE MBELE ZA WATU AU TUNAPOKUWA PEKE YETU NI VIZURI KUJIULIZA HAYA MASWALI:
1.Kwanini nafanya hiki kitu?
Hapa hakikisha unapata jibu la kwanini ufanye...
Hongereni kwa kuzuia viroba ila tafadhali sana wakuu zuieni ma junk food haya, chips, burgers na makorokoro haya mtaani yanaleta afya mbovu kwa watanzania, yanaua nguvu kazi ya taifa. Please...
Nimeajiriwa na Serikali miaka 14 na mwezi mmoja sasa. Makato yangu kwenda NSSF hayakuwa yakipelekwa na Serikali hadi mwezi Juni 2016 walipoanza kukata. Nimefuatilia miaka yote hiyo kwa kuandika...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema anatarajia kuzungumza wananchi wa Jiji la Arusha Mjini siku ijumaa kupitia Mkutano wa hadhara...
Kumetokea maafa makubwa jana katika kata ya Mingoyo na Mnazimmoja iliyopo Manispaa ya Lindi kufuatia mvua kubwa iliyoambata na upepo mkali, kuezua nyumba takribani 157 na majengo ya shule pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.