MWALIMU wa shule ya sekondari ya St Margareth wilayani Igunga amekamatwa na boksi za pombe aina ya viroba 825 akiwa amevihifadhi katika duka lake.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora, Hamisi...
Habari wadau,
Mwenye ujuzi wa kilimo cha Dill, Basil, coriander, lettus, butternut, beetroots na leeks naomba msaada anipe maelekezo ya namna ya kulima, na mahitaji (Udongo wa hali gani na hali ya...
Na. F.M.Philip
Haki ni neno maarufu sana midomoni pamoja na masikioni mwa watanzania.Siku hizi haipiti siku haujasikia haki zikidaiwa mahali, si watoto, vijana, wanawake, wanaume, wazee, kina...
Habari za leo wanaJF, napenda kuwajuza ulimwengu ulipofika wadau,
Na hii ni baada ya ajira kuwa mziki, kuna aina ya utapeli unaoendelea sasa hivi katika makundi/taasisi za kidini na ngo's flani...
Huu sijui kama ni ugonjwa au afya lakini niliposikia maccm yanapigani na kuswekana lumande huko dom nimecheka sana naona mwisho wa unafiki wa watu unakaribia kwa kasi sana[emoji23] [emoji23]...
Wakuu Salam. Nimepitia Kwa makini sana mwenendo WA CCM toka mwenyekiti mpya JPM achukue kijiti toka Kwa JK. Kimsingi cjuw Kama Ni mtazamo wangu Au naona Vibaya! Nahis kwamba CCM inapotezwa...
Ukiangalia Afrika nzima kwa makini utagundua kuwa Tanzania ni nchi pekee ambayo ina raslimali nyingi kulliko nchi nyingie yoyote. Kuna madini, gesi, mafuta ardhi yenye rutuba na vivutio vingi vya...
2016 NENDA BABA TUNASHUKURU KWA YOTE.
1.yametumbuliwa majipu mpaka chunusi nenda baba.
2.umefanya kabeji iwe nyingi kuliko nyama siku ya Christmas nenda baba
3.umefanya tujue kulikuwa faru john na...
Declaring my interest ni mdau wa karibu sana wa elimu,ikumbukwe kuwa kuna utekelezaji wa agizo la serikali la kutoa chakula cha mchana kwa wanafunzi wakiwemo wa shule za msingi,lakini 90% ya shule...
.
Wakuu kuna habari zinasambaa mitandaoni kuwa kuna Maafisa wa Taasisi ya Kilimo ya Seliani iliyopo Mkoani Arusha wameuawa na wanakijiji wa Mvumi.
Kukatokea kutokuelewana kati ya maafisa hao na...
Habari wanabodi,
Wanasalamu kanda ya Dodoma tunasikitika kumpoteza mwana Salamu maarufu kanda ya Dodoma Dada Rehema Chiuja.
Rehema amefariki jana jioni,msiba upo area C dodoma,kwa niaba ya...
Nimeangalia maadhimisho ya jana ya mapinduzi ya Zanzibar kwenye luninga baada ya kutoka kwenye meditation retreat ya siku mbili
Nikaangalia wale maaskari yale wayafanyayo wamesimama kwenye...
Heading inajieleza.
Guest house nyingi hapa Dodoma zilikuwa booked kwa siku ya leo 11/03/2017 na kesho.
Kwa sasa watu wanazidi kumiminika kiasi kwamba hotels, guest house zimekuwa hazitoshi...
1. Enzi hizo alikuwepo mtu anaitwa Jombi kudhihirisha ubabe kwa wenzako lazima uwaambie mimi ni "Jombi"
2. Kulikuwa na basi zinaitwa kiswele....engine nyuma, Dar - Mbeya faster, mafegi hii...
Wadau wenzangu watumiaji wa vilevi hasa bapa ningepeenda kuuliza. Hivi ni kwanini nyama hasa nyama choma hupunguza kilevi cha pombe.
Inasemekana ukila nyamachoma au supu husaidia sana kukata...
Nmefika Dodoma tangu hii mikutano ya ccm kuanza imekua kai kuliko.kumekua na foleni haijawah tokea hasa asubuhi,usipokua makini kazini unaingia saa nne maana mnasimamishwa zaidi ya masaa mawili...
Habari zenu wanajamii forum nilikua nimekaa na kujaribu kutafakari la hili Muheshimiwa Bashe kupigana kwenye kikao
Kama wenyewe wameshindwa kupata muafaka mpaka wanapigana.Kutakua na maelewano...
Hizi wizara toka awamu hii ya 5 kuingia madarakani viongoz wake wamekalia michakato na matamko tu,
1.Wizara ya utumishi,
Mwaka mzma imekalia zoezi la uhakiki watumishi hewa,vyeti nk, je kazi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.