Nenda tu 2016, tunashukuru

Meja M

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
628
561
2016 NENDA BABA TUNASHUKURU KWA YOTE.
1.yametumbuliwa majipu mpaka chunusi nenda baba.
2.umefanya kabeji iwe nyingi kuliko nyama siku ya Christmas nenda baba
3.umefanya tujue kulikuwa faru john na faru hadija yatosha baba
4.ajira imezidi kuota mbawa,baba wasalimie mwambie 2017 akija anisajili kuwa mwanasiasa huenda nikapata dili.

5.tumeshuhudia homa ya zika ikileta kizaa zaa nenda baba
6.tumeshuhudia wimbo mpya wa taifa muziki-darasa,acha maneno nenda 2016
7.tumeshuhudia watu wa dar wakitamani kurudi mikoani wasijue kote namba zinasomeka nenda baba
8.baba kugombania rimoti na watoto ,ataenda wapi pesa hakuna acha atulie kama daktari wa zamu..nenda baba

9.tumeshuhudia ufunguzi wa daraja jipya na watu tunakesha kufanyia shooting na kupiga picha, tuliliona wapi asante baba
10.tetemeko likawatesa ndugu zetu wa kagera na watu wakataka kupiga pesa kupitia mgongo wake ,2017 usifanye kama mwenzako baba

11.mvua za masika nazo zimekuwa adimu sijui nazo zinahakikiwa? nenda baba
12.sijasahau bomberdier zikanunuliwa watu wakaziita panga boy asante baba..
13.simba wakaongoza ligi ,kaa nao baba wamekuwa wagumba muda mrefu
14...........2016 nenda baba
 
Umesababisha ndoa kuwa imara
Nenda hamna namna
 
2016 NENDA BABA TUNASHUKURU KWA YOTE.

1.Yametumbuliwa majipu mpaka chunusi nenda baba.

2.Umefanya kabeji iwe nyingi kuliko nyama siku ya Christmas nenda baba

3.Umefanya tujue kulikuwa faru john na faru hadija yatosha baba

4.Ajira imezidi kuota mbawa,baba wasalimie mwambie 2017 akija anisajili kuwa mwanasiasa huenda nikapata dili.

5.Tumeshuhudia homa ya zika ikileta kizaa zaa nenda baba

6.Tumeshuhudia wimbo mpya wa taifa muziki-darasa,acha maneno nenda 2016

7.Tumeshuhudia watu wa dar wakitamani kurudi mikoani wasijue kote namba zinasomeka nenda baba

8.Baba kugombania rimoti na watoto ,ataenda wapi pesa hakuna acha atulie kama daktari wa zamu..nenda baba

9.Tumeshuhudia ufunguzi wa daraja jipya na watu tunakesha kufanyia shooting na kupiga picha, tuliliona wapi asante baba

10.Tetemeko likawatesa ndugu zetu wa kagera na watu wakataka kupiga pesa kupitia mgongo wake ,2017 usifanye kama mwenzako baba.

11.Mvua za masika nazo zimekuwa adimu sijui nazo zinahakikiwa? nenda baba

12.Sijasahau bomberdier zikanunuliwa watu wakaziita panga boy asante baba..

13.Simba wakaongoza ligi ,kaa nao baba wamekuwa wagumba muda mrefu

14...........2016 nenda baba
 
Mafisadi mtanyooka tu, na bado miaka 9 mbele.

Wapuuzi wakubwa nyinyi, mligeuza nchi shamba la bibi
 
2016 NENDA BABA TUNASHUKURU KWA YOTE.
1.yametumbuliwa majipu mpaka chunusi nenda baba.
2.umefanya kabeji iwe nyingi kuliko nyama siku ya Christmas nenda baba
3.umefanya tujue kulikuwa faru john na faru hadija yatosha baba
4.ajira imezidi kuota mbawa,baba wasalimie mwambie 2017 akija anisajili kuwa mwanasiasa huenda nikapata dili.
5.tumeshuhudia homa ya zika ikileta kizaa zaa nenda baba
6.tumeshuhudia wimbo mpya wa taifa muziki-darasa,acha maneno nenda 2016
7.tumeshuhudia watu wa dar wakitamani kurudi mikoani wasijue kote namba zinasomeka nenda baba
8.baba kugombania rimoti na watoto ,ataenda wapi pesa hakuna acha atulie kama daktari wa zamu..nenda baba
9.tumeshuhudia ufunguzi wa daraja jipya na watu tunakesha kufanyia shooting na kupiga picha, tuliliona wapi asante baba
10.tetemeko likawatesa ndugu zetu wa kagera na watu wakataka kupiga pesa kupitia mgongo wake ,2017 usifanye kama mwenzako baba
11.mvua za masika nazo zimekuwa adimu sijui nazo zinahakikiwa? nenda baba
12.sijasahau bomberdier zikanunuliwa watu wakaziita panga boy asante baba..
13.simba wakaongoza ligi ,kaa nao baba wamekuwa wagumba muda mrefu
14...........2016 nenda baba
 
Ukishika ukuta na kisha ukakata na kufunua vizuri, mafisadi wa ufipa watakupatia msosi hadi uvimbewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom