Bob12 JF-Expert Member Feb 27, 2017 11,422 58,788 Mar 11, 2017 #2 Boloyoung said: Click to expand... Watu ndo wanatoboa hivo mkuu sisi tunawa discuss
BigBro JF-Expert Member Jan 9, 2010 3,477 11,008 Mar 11, 2017 #3 Sababu waumini wao ni wajinga wacha waliwe tu
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,035 Mar 11, 2017 #4 Hapo wataliwa wenye hela tu, masikini humpati hapo
mjukuum JF-Expert Member Dec 8, 2014 5,258 2,840 Mar 11, 2017 #5 BigBro said: Sababu waumini wao ni wajinga wacha waliwe tu Click to expand... Hujakutwa kama kuna sehem ambapo akili inatakiwa kufanya kazi Mara nyingi ni kwenye imani achana na imani ya mtu
BigBro said: Sababu waumini wao ni wajinga wacha waliwe tu Click to expand... Hujakutwa kama kuna sehem ambapo akili inatakiwa kufanya kazi Mara nyingi ni kwenye imani achana na imani ya mtu
rubii JF-Expert Member Feb 22, 2015 13,621 17,573 Mar 11, 2017 #6 Kojo la Upako.... Mishumaa ya Upako....
Mbao za Mawe JF-Expert Member May 11, 2015 23,372 54,909 Mar 11, 2017 #7 Yaani wanadamu huwa wako serious kuibia wenzao bila kupapasa macho
Boloyoung JF-Expert Member Aug 24, 2015 682 652 Mar 11, 2017 Thread starter #9 rubii said: Kojo la Upako.... Mishumaa ya Upako.... Click to expand... Kojo tena! wee rubii wee mungu anakuona
rubii said: Kojo la Upako.... Mishumaa ya Upako.... Click to expand... Kojo tena! wee rubii wee mungu anakuona
rubii JF-Expert Member Feb 22, 2015 13,621 17,573 Mar 12, 2017 #11 Boloyoung said: Kojo tena! wee rubii wee mungu anakuona Click to expand... Kojoo Kojoo kojo la saa5 lina siri nzito
Boloyoung said: Kojo tena! wee rubii wee mungu anakuona Click to expand... Kojoo Kojoo kojo la saa5 lina siri nzito