Dindilimunyo
Senior Member
- Sep 12, 2016
- 108
- 206
Wakuu Salam. Nimepitia Kwa makini sana mwenendo WA CCM toka mwenyekiti mpya JPM achukue kijiti toka Kwa JK. Kimsingi cjuw Kama Ni mtazamo wangu Au naona Vibaya! Nahis kwamba CCM inapotezwa Na huyu Jamaaa! Vidonda vya 2015 havijapona na kimsingi alitakiwa aviponye kwqnza. Kwa kutumia busara! Uchaguzi WA 2010 nao uliacha vidonda sana! Sifikiriii kamaa anaona na anafaham ushawish Na nguvu walizonao haww anao wafukuza. Ukiniuliza mm kosa Lao kubwa najua Ni kuwa Na Lowassa Na makundi Kwenye Uchaguzi ninkitu cha kawaida. Nadhani wanao mshauri Rais wanampoteza. Halafu sidhani Kama Haya anayo yafanya anauwezo WA kuyasimima. Sidhani pia Kama kweli wwna CCM wapo tayari Kwa Haya Mabadiliko