Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

wakuu mbwa wangu wametoroka kutoka kwenye banda lao na wameelekea kusiko julikana..... Eneo walikotokea ni Goba mwisho sehemu inaitwa KV Pub sasa kwa yoyote alieko maeneo ya Goba ambae ataona mbwa...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
BCM Shikamoo Chama cha Mapinduzi na ama kweli sasa Chama kinarudi katika nidhamu yake tuliyoitaka. Ndani ya Saa 24 au 48 zijazo nchi itasimama na kutoamini.
8 Reactions
110 Replies
19K Views
Wafanyabiashara 13 wa Wilaya za Babati na Hanang’ Mkoani Manyara, wamesalimisha katoni 1,540 za pombe zilizofungashwa kwenye karatasi (viroba) zenye thamani ya sh140 milioni. Wafanyabiashara hao...
1 Reactions
5 Replies
890 Views
Boresheni miundo mbinu ya barabara. Mnashangaza sana mnapofanyia matengenezo barabara ambazo zimeshawekwa lami alafu mnaleta maskaveta yenu mnakwangua hiyo lami baada ya miezi minne tu, huu ni...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu kuna taarifa nilizipata kwamba muda si mrefu serikali itaanza utaratibu wakutoa kipaumbele kwa wale waliopitia JKT kwenye ajira zake. Kupitia ajira zilizotangazwa na TPA naweza kusema...
4 Reactions
12 Replies
5K Views
Kuna hii vita iliyoanzishwa kwa kasi sana na ndugu yetu mkuu wa mkoa na ambayo ilizua taharuki na taflani kubwa sana nchini huku ikifanikiwa kusambaa sehemu kubwa ya nchi. Pamoja na lawama kadha...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Mambo muhimu kama vile Bunge havioneshwi lakn kikao cha chama tu kila sehemu live, nchi nzima sio ccm bwana wengne hatna chama ni watanzania na sio wafuasi wa siasa, hivyo mwatukera! Samahan...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Ukilinganisha maambukizi ya ya Ukosefu wa Kinga Mwilini(UKIMWI),kati ya nchi za mashariki ya kati na Afrika iliyo kusini mwa jangwa la Sahara ya 5%,kuna utofauti mkubwa sana.Kwa nini tusifuate...
0 Reactions
0 Replies
833 Views
MASANJA MKANDAMIZAJI AKILI YAKO UTAJIRI WAKO: Laki tano, Mshahara wa Ma-Teller wa Benki hapa mjini Laki Tano, Bei ya TECNO PHANTOM mpya kabisa kwa kujishau Snapchat na Istagram Laki Tano, Bajeti...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
KUFUNGWA barabara kwa ajili ya kuhamisha Daraja la Chuma (MABEY BRIDGE) na kuliweka kwenye barabara ya muda (DIVERSION ROAD) katika Daraja la Mlalakua Barabara ya Mwai Kibaki.
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Wanajamvi naomba kujua kama service road huwa ni one way or two ways. Leo nimesimamishwa maeneo ya kimara bucha nikiwa service road na traffic akaniambia ni kosa kutumia service road kama two...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama sikosei nimemsikia Ndugu PolePole akitamaka kwenye huu mkutano wao kuwa kuna Madiwani na Mbunge wameamua kujipeleka CCM, je anamaanisha waliokuwa Madiwani na waliokuwa Wabunge, yaani kina...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Umofia Kwenu Wana JF, Kuna kero Kubwa sana hasa kwenye viwanja vilivyopimwa vya halmashauri,Wakishauza viwanja vyao wanasahau kabisa kuwaletea miundombinu kama kurekebisha barabara,kupeleka...
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Wanajamvi, habari zenu kwa mpigo! Kuna kitu kimenishtua leo. Nilichungulia mkutano wa CCM Dodoma na kuona Hamfrey amechangamka sana ukilingalisha na wajumbe wengine. Nikaandika polepole (kwa...
0 Reactions
1 Replies
761 Views
JUMUIYA ya Kikristo Tanzania (CCT) imetoa waraka uliojumuisha mambo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuwataka viongozi kutenda haki, kutokuwa na upendeleo, kuheshimu Katiba na sheria za nchi. Pia...
15 Reactions
109 Replies
13K Views
Family bonding - muunganiko wa kifamilia ni jambo jema sana! Family conflicts - migogoro ya kifamilia ni jambo baya sana... Msingi wa umoja katika ukoo huanza kwenye familia. Tuna familia na koo...
21 Reactions
200 Replies
21K Views
Kuna kijana ambae alimpiga bastola papa wa kule Roma lakini baadae yule kijana aliomba msamaha na papa akamsamehe japo bado jamaa kafungwa. Kuna jamaa alimpiga kofi mwinyi (Raisi wa 2) kipindi...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Naiandika tungo hii nikijua ya kuwa Ni kwa wale wana kaya kuu, walio mahiri Kabisa katika kaya iliyotukuka sana! Wenye hekima kama wendawazimu na Wenye busara kama vichaa nikijua fika ya kwamba...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Back
Top Bottom