Kwa mwenye utaaluamu wa kilimo cha dill, basill, corriander, beetroots... naomba anipe maelekezo

pjo

Member
Jan 17, 2017
26
20
Habari wadau,
Mwenye ujuzi wa kilimo cha Dill, Basil, coriander, lettus, butternut, beetroots na leeks naomba msaada anipe maelekezo ya namna ya kulima, na mahitaji (Udongo wa hali gani na hali ya hewa)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom