mwenebhukabo
Member
- Mar 2, 2014
- 24
- 11
Nmefika Dodoma tangu hii mikutano ya ccm kuanza imekua kai kuliko.kumekua na foleni haijawah tokea hasa asubuhi,usipokua makini kazini unaingia saa nne maana mnasimamishwa zaidi ya masaa mawili ndo msafara mmoja upite.Ni kama shughuli za kiraia zimesimama imebaki misafara ukizingatia mji wenyewe bado ni mdogo hakuna kinachoendelea ila ni matembezi ya viongozi.Na hapa serikali haijahamia sipati picha jamaa wakishafika kamili.Sina hakika ni uwoga wa wana usalama barabarani kuwaweka raia masaa mawili kungoja msafara mmoja au ndio itifaki imezingatiwa.wenye mamlaka walitizame hili.
Najaribu kuwaza tu!..
Najaribu kuwaza tu!..