Mkuu wa meza na ibada zinazopingana na Mungu

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,849
730,380
Nimeangalia maadhimisho ya jana ya mapinduzi ya Zanzibar kwenye luninga baada ya kutoka kwenye meditation retreat ya siku mbili

Nikaangalia wale maaskari yale wayafanyayo wamesimama kwenye mistari kwa ukakamavu na kuongea kwa sauti kubwa maneno waliyokariri huku kule meza kuu kwenye jukwaa wale wanaoitwa viongozi na wageni wa heshima waalikwa wakiwa wamesimama kimya kabisa wakiwa wanasikiliza yale maneno. .... (ukifanya hivi mtaani pekeyako au hata mkiwa wengi mtaitwa wendawazimu mnapiga kelele na kupayuka na mnaweza kukamatwa na kupelekwa mirembe

Haya matendo ya parade ni ibada za kishetani, kubeba silaha kama kule na kufanya maigizo kama yale si lolote bali ni mwendelezo ule ule wa ibada zisizomtukuza Mungu

Fananisha kile kinachofanyika pale na ibada zile za kwenye nyumba za ibada tofauti yale ni moja tu kule tunabeba vitabu na misahafu na kumtaja Mungu na matendo mema huku tunabeba silaha na kughani maneno yasiyo na mahusiano yoyote na Mungu...silaha lake ni moja tu KUANGAMIZA na KUFISHA na KUHARIBU UUMBAJI magwaride haya ni ibada za kishetani
Najua wazi hii post inaweza kuleta mushkeli mkubwa kwa wale wasioweza kuwaza marambili ama nje ya kasha...mkuu wa meza anapokaa pale ni sawa na mungu mdogo yeye ndio kila kitu pale na maagizo yote hutoka kwake ama kupitia wasaidizi wake!

Mkuu wa meza hana tofauti na mgeni rasmi mkuu
 
Najua wazi hii post inaweza kuleta mushkeli mkubwa kwa wale wasioweza kuwaza marambili ama nje ya kasha...mkuu wa meza anapokaa pale ni sawa na mungu mdogo yeye ndio kila kitu pale na maagizo yote hutoka kwake ama kupitia wasaidizi wake! mkuu wa meza hana tofauti na mgeni rasmi mkuu
Mkuu habari hizi huwezi zielewa bila kufunuliwa /huwezi zijuwa bila kupewa macho ya rohoni,
 
Kwaiyo mungu amezidiwa ujanja na Lucifer?
Ibilisi ni mkuu wa ulimwengu huu . Soma YOHANA 12:31, 14:30; 16:11; Pia kuna maandiko yanamtaja ibilisi kama mungu wa dunia hii.- soma 2 KORINTHO 4:4. (mungu inayoanza kwa herufi ndogo ni ibilisi huyo) jina la Mungu wa miungu ni lazima lianze kwa herufi kubwa (kimaandishi).
 
hayo magwaride ndo mahala pake ati, itakuwa ajabu hayo yakifanyika kwenye majumba ya Ibada, si lazima kila kitu kimfurahishe kila mtu.
 
huko kwenye MUNGU mbona nanyi mpo wengi waislamu,wakristu,budha n.k halafu humohumo kuna vipengele lukuki!!
 
hayo magwaride ndo mahala pake ati, itakuwa ajabu hayo yakifanyika kwenye majumba ya Ibada, si lazima kila kitu kimfurahishe kila mtu.
Nilijua wazi si kila mmoja atanielewa which is okay
 
Mbona ni vitu tofauti kabisa aisee. Mamlaka za duniani zinatambuliwa isipokua binadamu hatakiwi kuziheshimu kiasi cha kumkufuru Mungu. Sioni tatizo la sisi askari na utukufu wa Mungu.
 
Sijui ni mm tu sijaona kilichokufanya useme ile ni ibada kama ni hivyo nahisi ata kuchati mtasema ni ibada maana utulivu alionao mtu anaechati ni noma
 
Nimeangalia maadhimisho ya jana ya mapinduzi ya Zanzibar kwenye luninga baada ya kutoka kwenye meditation retreat ya siku mbili

Nikaangalia wale maaskari yale wayafanyayo wamesimama kwenye mistari kwa ukakamavu na kuongea kwa sauti kubwa maneno waliyokariri huku kule meza kuu kwenye jukwaa wale wanaoitwa viongozi na wageni wa heshima waalikwa wakiwa wamesimama kimya kabisa wakiwa wanasikiliza yale maneno. .... (ukifanya hivi mtaani pekeyako au hata mkiwa wengi mtaitwa wendawazimu mnapiga kelele na kupayuka na mnaweza kukamatwa na kupelekwa mirembe

Haya matendo ya parade ni ibada za kishetani, kubeba silaha kama kule na kufanya maigizo kama yale si lolote bali ni mwendelezo ule ule wa ibada zisizomtukuza Mungu

Fananisha kile kinachofanyika pale na ibada zile za kwenye nyumba za ibada tofauti yale ni moja tu kule tunabeba vitabu na misahafu na kumtaja Mungu na matendo mema huku tunabeba silaha na kughani maneno yasiyo na mahusiano yoyote na Mungu...silaha lake ni moja tu KUANGAMIZA na KUFISHA na KUHARIBU UUMBAJI magwaride haya ni ibada za kishetani
Najua wazi hii post inaweza kuleta mushkeli mkubwa kwa wale wasioweza kuwaza marambili ama nje ya kasha...mkuu wa meza anapokaa pale ni sawa na mungu mdogo yeye ndio kila kitu pale na maagizo yote hutoka kwake ama kupitia wasaidizi wake!

Mkuu wa meza hana tofauti na mgeni rasmi mkuu
This is the photo-type of what is going on, on heavenly places. Maandiko yanamfunua Mungu kama Bwana wa majeshi "commander in chief" halafu duniani kuna wafalme na wakuu wa nchi ndio Maraisi, wafalme (head of states) nk, sasa Title nyingine ya Bwana Mungu ni Mfalme wa wafalme hii ina maana kuwa Bwana Mungu ni Mkuu wa watawala wote wa Duniani na ameketi kwenye kiti cha enzi katikati ya ADHAMA (matukuzo) Hivyo hakuna mfalme yeyote asiyemiliki nguvu za kijeshi na miongoni mwa jukumu no. 1 la jeshi lolote duniani ni utii madhubuti kwa mfalme falsafa hii ndio iliyopelekea Akhera pakaitwa ufalme wa mbinguni na ndio sababu kuu Kristo alikuja ili ku- establish ufalme wa mbinguni yaani "Gorvement" hapa duniani ili mapenzi ya Mungu (Interests) yatimizwe duniani kama yalivyo huko mbinguni. Kwa hili la uwepo wa silaha hata Bwana Mungu ana ghadhabu (sometimes) na huushika upanga ili kutimiza hukumu tena upanga uwakao moto na wenye makali kuwili ili kufanya kisasi. So there are more elements of godliness rather than satanism katika maadhimisho yale.
 
Back
Top Bottom