Dodoma: CCM na Polisi wanapita kwenye guest house wanatoa watu kwa nguvu

999

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
2,231
1,515
Heading inajieleza.
Guest house nyingi hapa Dodoma zilikuwa booked kwa siku ya leo 11/03/2017 na kesho.

Kwa sasa watu wanazidi kumiminika kiasi kwamba hotels, guest house zimekuwa hazitoshi.

Wanachofanya sasa ni kuingia kwenye hotels, nyumba za wageni na kutoa watu kwa nguvu ili hawa wajumbe wa CCM wapate sehemu ya kulala.

Leo na kesho kwa anayekuja Dodoma ategemee kulala kwenye gari yoyote aliyokuja nayo kama ni bus utalala bus station.

..……….......................................

19:14, 11/03/2017

Ndiyo nimepata room sasa hivi kwenye sehemu moja kuanzia nitolewe kwenye room mchana na MaCCM.
Yanapiga simu reception yanatafuta sehemu ilipo.
 
uliyeleta uzi huu.hata kama huipendi CCM ila sio kwa aina hii..
yaan mtu ufukuzwe lodge??
acheni basi...
Tanzania chini ya CCM kila kitu kinawezekana, hivyo hata hili linaweza kuwa na ukweli...
 
Back
Top Bottom