Lofawamali
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 304
- 146
Habari zenu wanajamii forum nilikua nimekaa na kujaribu kutafakari la hili Muheshimiwa Bashe kupigana kwenye kikao
Kama wenyewe wameshindwa kupata muafaka mpaka wanapigana.Kutakua na maelewano kweli au ya ngoswe muachie Ngoswe.
Cjui wewe kama mwanajamii umelichukuliaje.