Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Wadau wenzangu watumiaji wa vilevi hasa bapa ningepeenda kuuliza. Hivi ni kwanini nyama hasa nyama choma hupunguza kilevi cha pombe.
Inasemekana ukila nyamachoma au supu husaidia sana kukata pombe kwenye ubongo na kuondoa hangover.
Anayejua nikwanini atujuze. Kuliza c ujinga.
Inasemekana ukila nyamachoma au supu husaidia sana kukata pombe kwenye ubongo na kuondoa hangover.
Anayejua nikwanini atujuze. Kuliza c ujinga.