mtunzasiri
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 1,446
- 988
Huu sijui kama ni ugonjwa au afya lakini niliposikia maccm yanapigani na kuswekana lumande huko dom nimecheka sana naona mwisho wa unafiki wa watu unakaribia kwa kasi sana yaani kule kwa magamba kulijaa wanafiki mabashite vihiyo wanaolindana mpaka ilikera, ila kwa kasi hii wanagawana mbao siku zinavyokaribia maana kama kuna watu waliishi kwa unafiki wa mali ama kwa ujinga wa ndio mzee mradi wapitishwe hata kama vihiyo naamini kwasasa hatopona mtu watakula nyama ya mtu nao wataliwa tuu baadae.
ni kama kuku ambaye kala mchele afu usiku akaliwa na ubwabwa... nchi hii itanyoka chama kongwe litang'oka mpaka 2025 tutakuwa tunaandika historia tuu. Tucheke tena wale wanafiki watanielewa tuu he he he he he he he he he........