Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,300
Habari wanabodi,
Wanasalamu kanda ya Dodoma tunasikitika kumpoteza mwana Salamu maarufu kanda ya Dodoma Dada Rehema Chiuja.
Rehema amefariki jana jioni,msiba upo area C dodoma,kwa niaba ya watuma Salamu wote tunawapa pole familia ya marehemu Rehema Chiuja,bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe..M.A.P R.C