Tathmini: wizara ya utumishi na Elimu zmefanya yapi kuelekea kumalza bajeti 2016/2017?

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
956
593
Hizi wizara toka awamu hii ya 5 kuingia madarakani viongoz wake wamekalia michakato na matamko tu,

1.Wizara ya utumishi,
Mwaka mzma imekalia zoezi la uhakiki watumishi hewa,vyeti nk, je kazi ya wizara hii bajet yake ya fedha inaishia kwenye uhakiki?

Haitoi Ajira mpya, haipandsh madaraja,haiongez mshahara, hairuhusu uhamisho, kila kitu hakifanyik kisa uhakiki je mkijtathmn mnaona mpo sahihi kukalia kazi ya uhakiki tu huku mmestsha mambo haya yote?

2.Wizara Elimu.
Hii wizara nayo haijali ubora wa Huduma ya Elimu, elimu bure bila walimu ni elimu au mnaigza? Hafu mnataka ufaulu hao wanafunz wanafundshwa na mungu?

Elimu itakuwa bora vp bila walimu na maslahi yao? Tangu mseme mnaajiri walimu wa sayansi na hisabati si ilikuwa Dec 2016 leo si march? Miez 3 mizima bado tu hamjapangia walimu vituo na mmewataka watume tena wengne vyeti mpaka march 30 hv mnawafanya vjana kama mazezeta? Hao waliotuma mmeshndwaje kuwapangia vituo? Hizo ajira kuwapa vjana mpaka wawaabudu vp? Wamekaa mtaani miaka 2 hafu bdo mnazd kuwatia hasira za ktuma vyeti na vitsho tu, ajirin watoto wenu sasa hawa vjana achen waendelee kuwa mtaani,

Hata aibu usoni mmekosa mmekalia matamko na maelekezo, kama mamlaka hamna mbali na kupewa wizara bora mnyamaze mwenye mamlaka akikumbka atasema yy! VIJANA MNAOSUBIRI AJIRA BORA MFANYE MAMBO MENGINE ACHANENI NA HAWA WANASIASA, AJIRA ZAO WANAFUNGUA JULY BAJETI MPYA YA FEDHA,SAHV MNAFANYWA KAMA MBUZI WA KAFALA,

NB, mawaziri huska bora mjihudhuru tu na nyinyi mkajiajiri kuliko kuendelea kumalza kodi zetu bure pasipo kutoa Huduma stahk, uhakiki mnahakiki chini tu kwanini hamhakikiani na nyinyi huko juu? Daudi Bashite mnamskia lakn hakna alietaka ahakiki vyeti vyake, Tanzania now dayz darkness country, no vision, hapa HAKUNA uchochez Bali ni ukweli khs kero zenu! VIJANA MSIWAAMN WANASIASA HATA SIKU 1! WAPO LADHI UFE ILI MAMBO YAO YAENDE SAWA! TAKE CARE WITH YOUR TIME,
 
Back
Top Bottom