Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

. Anaandika Wakili Msomi Emmanuel Kihaule ______________________________________________ Suala na urais wa TLS limefanya kila kalumekenge na kalumanzila kuwa mtaalam wa sheria huku wakijifanya...
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Kwasasa c fahari tena kuwa mwanadarisalama Hamna sifa nzuri mnatia doa mambo mengi Binafsi naiona arusha mbeya na mwanza kama majiji bora kuliko darisalama MNA maskendo kibaoooo...
1 Reactions
2 Replies
783 Views
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tabora kuwakamata viongozi wanne wa Chama Kikuu cha Ushirika wa Tumbaku (WETCU) pamoja na kufunga ofisi za chama hicho hadi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakati unapotokea ukame Watanzania wa dini zote wanamwomba Mungu na mvua inanyesha. Hali tuliyonayo sasa ni mbaya sana kuliko ukame mkali. Tunaelekea kuwa Tanzania ya kubaguana, chembechembe za...
2 Reactions
1 Replies
951 Views
Tutegemee tetemeko la kisiasa. (19000)
0 Reactions
4 Replies
848 Views
. Ifike wakati busara kubwa itumike kuliongoza hili taifa, Raisi na watu wake watambue tu kuwa taifa hili haliwezi kuongozwa kwa kutumia nguvu nyingi sana na vitisho. Hata kama Watanzania ni...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
PSPF wamekuwa hawatoi huduma zifuatazo kwa wakati au hawatoi kabisa huku wakijitangaza kutoa huduma hizo 1.mafao ya uzazi 2.mkopo wa elimu ya juu 3.mkopo wa viwanja Huduma zote hizo kwa wateja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tangu RC Makonda awe mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa jiji la Dar matukio ya kijambazi ya kuvamia mabenki na misafara ya fedha hayasikiki tena. Vikundi vya vibaka maarufu kama...
1 Reactions
0 Replies
821 Views
Mahakama ya Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro imetoa hukumu ya kuchwapwa kiboko kimoja mwanafunzi wa kidato cha tatu shule ya sekondari Longoi wilaya hapo baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Mrisho Mpoto amewataka watanzania kutazama utendaji wa Makonda na si vyeti vyake pasipo kujua kwamba kufoji au kutumia vyeti vya kitaaluma vya mtu mwingine kujipatia kazi, cheo, sifa yoyote ile...
22 Reactions
116 Replies
11K Views
Naomba mawazo yenu,kwa niaba ya rafki yangu, alikopa mkopo benki ili mke awe na mradi,anakatwa mshahara , wanapoishi bado wanajenga ,pesa inayotumika ni ya mwanaume,mke wake amejenga nyumba kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Bwana Yesu asifiwe;;;; Poleni na majukumu!! Haya ni maombi maalum: Baba ktk Jina la Yesu Kristo,,,,,,ninaomba kama Mtumishi wako ambaye ninajua yakuwa ww ndiye unaetawala sasa ktk anga la Taifa...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zilizothibitishwa na RPC M.Mwabulambo zimesema kuwa Wachimbaji wawili wanaofanya kazi katika mgodi wa RZ wamepoteza maisha kwa kupigwa shoti ya umeme wakati wa harakati za kutoa tope jana...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Ndege hiyo itasafirisha abiria kutoka mji wa Blantyre hadi Dar-es-Salaam nchini Tanzania na itatua kwa muda Lilongwe kabla ya kuelekea Dar . Taarifa kutoka kwa shirika hilo la ndege, lilisema...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari wakuu wajavi Kiukweli nimekuwa karibu na ndugu, jamaa, marafiki nk. Katika hali isiyo yakawaida kwa takwimu zangu za kawaida naona kuna ongezeko kubwa la wanawake wajawazito kufanyiwa...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakuu, Mtakumbuka mzee wa upako aliwatabiria kifo waandishi wa habari ambao walimwaandika vibaya ifikapo March 2017. Mwenye taarifa ya mwandishi yeyote aliye R.I.P mpaka sasa.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kukibaki siku chache tuu kabla TANESCO kuzima umeme Unguja na Pemba kuitikia agizo la Rais wa Jamhuri ya Tanzania muheshimiwa John Pombe Magufuli, taa za solar zimeadimika visiwani. Imebainika...
0 Reactions
7 Replies
900 Views
Tido Mhando alitaka TBC iseme ukweli siku zote akapigwa nchale na Zakaria na wenzake nao wakataka TBC iwe inadanganya wananchi siku mojamoja nao wakapigwa nchale. Hii inaonyesha kuwa ni kazi ngumu...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom