Alichoongea Mzee wa Upako juu ya waandishi wa habari

kelao

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
8,132
5,798
Wakuu,

Mtakumbuka mzee wa upako aliwatabiria kifo waandishi wa habari ambao walimwaandika vibaya ifikapo March 2017.

Mwenye taarifa ya mwandishi yeyote aliye R.I.P mpaka sasa.
 
Umewahisha thread ngoja kwanza march iishe
 
Back
Top Bottom