Kwanza nianze kwa pongezi kwa mkuu wa mkoa wa Dar bwana Paul Makonda, ni moja ya vijana wachache kabisa nchi hii kuwahi kupewa madaraka makubwa na kuweza kuyamudu vyema, nimeanza kukufuatilia toka...
Nimesikitishwa na kuguswa sana na malalamiko ya mabinti wa taasisi ya uhasibu (TIA) dhidi ya udhalilishaji na dhulma za kingono zinazofanywa na mmoja wa wahadhiri wa taasisi hiyo Mr. Njunwa. Sina...
Wakuu naomba kufahamishwa,
Inahitaji viza kusafiri nchi za SADC kama vile Zambia, South Africa, Swatzland, Namibia, Botswana, Malawi na Zimbabwe?
Nijuzeni tafadhali kwa wenye ufahamu nalo.
Shirika la umeme nchini TANESCO limetangaza kusitisha huduma za manunuzi ya umeme kwa wateja wa luku siku ya jumapili na jumatatu....
==========
Maelezo zaidi
Ni kwamba mfumo wa luku...
Wadau, leo katika tafakuri zangu, nimepata kufikiria sana juu ya huu mji wetu watanzania, mji wetu tunaojivunia kuwa ndo wa kisasa na uloendelea zaidi, ijapokuwa una kasoro zilizokithiri...
Au ni sababu za kiusalama. Mtuhabarishe wateja wenu, shuguli zetu za kujiingizia vipato zinakwama kutokana na hali hii. Si upande wetu tu walipa kodi, hata huyo mkusanya kodi pato litapungua.
Kama kichwa cha habari, kinavyosomeka hapo juu kuhusu ukata mkubwa kwenye jumuiya ya EAC.
Hadi sasa hivi tunavyoelekea katika uchaguzi wa bunge la EAC mwezi kesho tarahe 4/4/2017.
Taarifa...
Rumishael Shoo
Kamanda Sirro akiongea na waandishi wa habari amesema Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwakamata wahalifu mbalimbali, silaha na magari mawili aina ya Noah yaliyokuwa yakitumika...
Polisi wetu sijui mnaenda(GA) kusomea ujinga ktk mafunzo yenu?
Hivi inawezekana kweli kuwa mtu mmoja tena aliyedhoofu kiakili na kimwili mnashindwa kumshika na kumuweka chini ya ulinzi hadi...
Katika gazeti la leo tumeona hizo habari, kwa kweli zinasikitisha kama ni za kweli, lakini pia zinaweza kuwa ni za kupandikiza tu kama ushahidi hautapatikana.
Wilaya ya Urambo inapatika mkoa wa Tabora ambapo kuna shida kubwa juu ya Uongozi Wa Afisa elimu na taaluma kwa kuendekeza uhuni kwenye taaluma ya vijana wetu.?
Kuna thread ilianzishwa miaka kana...
Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste Ipagala Manispaa ya Dodoma, Joshua Warioba, anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka mitano...
Hapa DDC Keko, Dar es salaam, kwenye eneo la wazi, katika ukuta unaotenganisha eneo hilo na National Hotel, wakazi wamekusanyika kwa taharuki baada ya kumuona kijana amelala ukutani na hapumui...
Kutokana na hizi tuhuma zinazo muandama Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam hazina budi kuangaliwa upya,kutokana na kugubikwa na mambo mengi yenye ukakasi sasa yampasa Mh Rais kutoa maamzi magumu! japo...
Naamu kila binadamu unapokuwa umetulia na kukumbuka maisha uliyopitia basi lazima utakumbuka matukio yakufurahisha na muda mwingine ya kuhuzunisha. Leo nawaletea matukio mawili ya kweli na...
:KIJANA EPUKA MAISHA YA KUIGIZA
Maisha ya kuigiza kwa vijana wengi wa kitanzania kwasasa ni kawaida sana na wengi ndicho kinachowapotezea dira ya maisha..
Kuna mtu anawaza atakula nini sababu...
Mwanasayansi mtabiri Ray Kurzweil, amekuwa akifahamika kwa kutabiri matukio mbalimbali kuanzia miaka ya 1980's kipindi ambacho ulimwengu wa sasa ulionekana kama ni ulimwengu wa kufikirika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.