Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,098
Bwana Yesu asifiwe;;;; Poleni na majukumu!!
Haya ni maombi maalum:
Baba ktk Jina la Yesu Kristo,,,,,,ninaomba kama Mtumishi wako ambaye ninajua yakuwa ww ndiye unaetawala sasa ktk anga la Taifa hili,,,,,,,,,maana umetukumbuka Watanzania na umekuja kama Mfalme.
Ili kuliinua Taifa hili ktk viwango vya kiuchumi mkubwa,,,,,na pia Neema yako na Uwepo utakua mkubwa na kila mmoja atajua hakika Mungu uliye Hai upo Tanzania.
Hivyo Bwana,,,,,Ufalme wako ni Ufalme wa Haki na Amani.
Sasa ee Bwana,,,,,,ninaagiza Malaika zako wakasimamie uchaguzi huu wa kumpata Rais wa TLS ktk haki,,,,,,,,,,na ninakemea hila na mipango yote iliyokinyume na Mungu kwa Mamlaka ya Jina la Yesu Kristo.
Ninakamata fahamu za wote wanaohusika na kusimamia uchaguzi huu,,,na ninazitiisha chini ya mamlaka yako Mungu wa Mbinguni kwa Jina la Yesu.
Na yeyote atakaehusika na kuhujumu au kuharibu haki au kufanya kinyume na utaratibu unaotakiwa,,,, Mungu ninamkabidhi kwa Malaika Mikael amshugulikie na hali ya huyo mtu iwe mbaya kimwili kabsaa,,,,,ili ijulikane wewe Mungu ndiye unaetawala Tanzania.
Na yeyote atakaepitishwa lakn si kwa halali na haki,,,,,,,,ninatangaza Hasiwe na raha asubuh,,,,,mchana,,,,jioni,,,,,wala usiku,,,wala akaapo,,,wala atembeapo,,,,,wala alalapo,,,,,wala asimamapo kwa Jina la Yesu Kristo.
Eeh Mungu wa Baba yangu Samwel,,,,,na ikajulikane kwamba ni wewe ulisema na Mtumishi wako.
NIMEOMBA NA KILA MMOJA ASEME,,,,,,,,,,,,,,,,,,AMEN