Chini ya RC Makonda jiji la Dar liko salama zaidi

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,977
11,384
Tangu RC Makonda awe mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa jiji la Dar matukio ya kijambazi ya kuvamia mabenki na misafara ya fedha hayasikiki tena.

Vikundi vya vibaka maarufu kama panyarodi vimetoweka. Wahuni mbalimbali kama wala ngada madadapoa na wanywa viroba wamedhibitiwa kwa kiwango kikubwa.

Kimsingi Dar imekuwa salama zaidi chini ya uongozi wa kijana mchapa kazi RC Makonda. Hongera sana.
 
Back
Top Bottom