fundi msati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 216
- 90
Habari wakuu wajavi
Kiukweli nimekuwa karibu na ndugu, jamaa, marafiki nk. Katika hali isiyo yakawaida kwa takwimu zangu za kawaida naona kuna ongezeko kubwa la wanawake wajawazito kufanyiwa upasuaji wakati wakujifungua.
Karibu kila baadhi ya wanawake kadhaa wanaojifungua miaka hii ya karibun basi japo watatu au wanne wamefanyiwa upasuaji tofauti na miaka iliyopita
Kama kuna mwenye takwimu aweke hapa ili kujua ukubwa wa tatizo na kwa wale wajuao basi TAFADHARI leteni majibu. Je nini kinachofanya kuwa na ongezeko la tatizo hili
NAOMBA KUWASILISHA