simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,206
Kukibaki siku chache tuu kabla TANESCO kuzima umeme Unguja na Pemba kuitikia agizo la Rais wa Jamhuri ya Tanzania muheshimiwa John Pombe Magufuli, taa za solar zimeadimika visiwani. Imebainika wanzanzibari wengi wemufurika madukani kununua taa za solar pamoja solar charger. Umati wa wanunuzi umefananishwa na matayarisho ya ujio wa mwezi mtukufu wa ramadhani. Mungu ibariki Tanzania.