TBC ukidanganya nchale na ukisema kweli nchale pia

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
13,423
13,935
Tido Mhando alitaka TBC iseme ukweli siku zote akapigwa nchale na Zakaria na wenzake nao wakataka TBC iwe inadanganya wananchi siku mojamoja nao wakapigwa nchale. Hii inaonyesha kuwa ni kazi ngumu sana kufanyakazi TBC.
 
Ndo uhalisia huo...INA wabidi wawe intelligent kweli kweli
 
Wana jamvi, kama kuna mtu ana clip ya kina Zakaria wakitangaza habari nyepesi nyepesi ya Mkulu vs Trump tafazal aitupie hapa, nataka nione how Zakaria's face was, by the time anasoma hyo fake news
 
Tido Mhando alitaka TBC iseme ukweli siku zote akapigwa nchale na Zakaria na wenzake nao wakataka TBC iwe inadanganya wananchi siku mojamoja nao wakapigwa nchale. Hii inaonyesha kuwa ni kazi ngumu sana kufanyakazi TBC.
Hilo jipu limevia hata likitumbuliwa hautoki usaha wala damu
 
Back
Top Bottom