Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwanasayansi mtabiri Ray Kurzweil, amekuwa akifahamika kwa kutabiri matukio mbalimbali kuanzia miaka ya 1980's kipindi ambacho ulimwengu wa sasa ulionekana kama ni ulimwengu wa kufikirika...
2 Reactions
48 Replies
6K Views
Ndo anaanza kuonyesha rangi yake halisi?
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Wana jamvi Salaam Watumiaji wa earphone wakati wote aither wakati wa kuongea na simu ama wakati wote wameziweka katika masikio yao, earphone zinalipuka na zinaweza kuleta madhara makubwa kama...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
niliandika humu kipindi kilichopita nikiwa na uzi wenye kichwa kama hiki hapa Rais Magufuli wafanyakazi tumekukosea nini? niwe mkweli kuwa sikuona dalili za uzi ule kumfikia mheshimiwa raisi maana...
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Benki ya EFC Tanzania Microfinance Bank ltd leo imezindua huduma mpya kwa wateja wake ya mtandao wa kibiashara wenye lengo la kuboresha mawasiliano kati ya wateja na benki itakayosaidia...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ni vema kwa watu MUNGU tutumie nafasi kila siku kumwombea Rais wetu mpendwa ili MUNGU aelendee kumtumia kutuongoza kwa mapenzi ya MUNGU. Mungu ametupatia kiongozi mzuri sana. Tumpende Mh. Rais na...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Walikamatwa kwenye nyumba ya kulala wageni ya New Happy na Kilimani Bar iliyopo kwa Raju huko Mjini Magharibi wakiwa katika harakati za kutafuta wateja, nyumba hiyo ya wageni ya New iliyopo...
6 Reactions
110 Replies
24K Views
NAMBA HII NAMBA GANI NI NGUMU HAISOMEKI. Namba hii sio tasa Wala Ile ya Witiri Wasomi Inawatesa Waisoma Siri Siri. Namba Isiyo someka Si kichina si kirumi Wengine inatutesa Namba isiyo sufuri...
0 Reactions
1 Replies
970 Views
Benki ni kimbilio la watu kwa usalama wa pesa na mali km hati , vyeti n.k vinahifadhiwa benki ; lakini cha kushaangaza limeanza kuwageuka wanyonge. Visa kadi ni kadi unayoruhusiwa kutoa kadi...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Najaribu kutafakari, kijana kakamatwa na binti wa mtu thn suala la ndoa ya mkeka linapitishwa, bt tumeambiwa hakuna ndoa bila cheti cha kuzaliwa.....navuta picha Ostaadhi akiomba cheti cha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
HABARI WANA JAMII FORUM. Nachukua nafasi hii kumshukuru Mungu muweza wa yote kwa hali ya hewa nzuri hapa arusha nikiamini pia kuwa ataubariki mkutano wa mawakili unaofanyika leo ikiwa ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Huku mashirika ya kutoa msaada yakiombia misaada wa dharura kwa waathiriwa wa ukame nchini Somalia, kundi la al-Shabab linasema kuwa limekuwa likigawa chakula kwa wale wanaohitaji. Umoja wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau wa biashara ningependa kujua faida au hasara iliyotengenezwa
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Numekua kati ya watu wasio support Clouds Media Group kwa sababu mbali mbali za unafiki wanaojihusisha nao.Wameandaa campaign ya Malkia wa Nguvu hivi karibuni lakini nashangaa kutomuona Jackline...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Hapa nitaweka zile "hakuna zote zilizokubaliwa kisheria 1. Hakuna kuvaa majoho kwa wahitimu wasio kuwa na shahada.... 2. Hakuna kupanda madaraja wala uhamisho kwa watumishi Wa uma mpaka hapo...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Habarini wadau. Naomba mnisaidie tararibu na makadirio ya gharama kuunganisha umeme. Eneo langu ni Kigamboni Kibada mita kama 200 toka nguzo ya mwisho.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salam ndugu zangu. Kumekuwa na mazoea ya kuweka password kwenye simu na pia kuzima simu nyakati za usiku. Sanasana kwa wanandoa au wachumba. Unakuta mtu kaweka pattern kwenye simu yake mpaka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wagonjwa au ndugu wanaopeleka wagonjwa wao Bugando wanataabika sana wanapofika kwa matibabu pale Bugando. Mgonjwa akifika saa mbili asubuhi anaweza kuzunguka mpaka saa kumi hajapata huduma...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nchi hii Ingekua Sehemu Salama zaidi ya Kuishi Duniani.
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom