Utatakiwa kujibu maswali utakayoletewa kwenye hiyo link,baada ya kujibu kulingana na majibu uliyotoa itakuletea umri wako unaoendana na matendo yako....
kipimo kinatoa majibu kulingana na...
My Brother, My Enemy"
Your smiling cannot fool me no more
Your sweet talking cannot fool me no more
Cause I know about your cheating
Cause I know about you back biting
And I don't know what you...
Habari za leo wanajamii.
Mie ni mtumiaji mzuri wa usafiri wa mwendokasi. Na kituo changu kikuu ni Morocco. Kuna hospitali iko hapo pembezoni mwa daraja upande wa kushoto. Kila siku huchoma taka...
Juzi nimeamka name kujikuta nimechanjwa chale 2 juu mkono wa kushoto. Moja iliingia kidogo. Chale hizo zililala sambamba kama nambari 11.
Naomba kujuzwa humu, nini sababu na madhara yake? Sehemu...
Habari za asubuhi.
Kukosolewa ni njia moja wapo ambayo viongozi na watoa huduma wengi duniani huitumia kama njia moja wapo ya kujitathimini na kuboresha huduma zao.
Kuna mtu mwingine...
Habari zenu wapendwa wangu.
Ndugu zangu huu mtaa ninaoishi ni majanga mtupu, nimezungukwa na WAMBEA KUPITA MAELEZO, ni majiran zangu lakini wanapenda sna kufatilia maisha ya watu.
Yaan wanataka...
Uchumi unategemea Siasa safi,ulinzi,afya za watu,demokrasia na mambo mengi ambayo ni muhimu sana katika maisha yetu.
Napenda kwa ufupu kutoa rai yangu kwa wale washauri wa Magufuli. Nafahamu kuwa...
Siku ya kwanza kutembea zanzibar(Kisiwani Unguja) nilijifunza mengi..
1:Watanzania wale kwa harakaharaka niliwaona kama watu waungwana sana sana.
2: nilitamani kuingia Verbal Contract ya...
Najiuliza tu hivi inakuaje RC Paul Makonda anapenda kutumia vyombo vya habari binafsi kwenye shughuli zake za kiserikali..!
Tukio la yeye kutimiza mwaka mmoja tangu awe Mkuu wa Mkoa wa...
Wanabodi, kuna mvua kubwa sana tangu alfajiri ya leo hapa Dar hasa maeneo ya Mwenge, Sinza yote, Mtogole.
Vipi wale wa mabondeni wako salama?
PICHA
Mbezi Beach
Mwai Kibaki Road (Old Bagamoyo...
Inasikitisha saana pale mtuhumiwa anapoambiwa ajitetee kutokana na tuhuma zinazomkabili badala yake anaanza kutafuta mchawi kwa visingizio kibao. Kwa ufupi hakuna anayepinga juhudi unazozionyesha...
Tanzania ni nchi ambayo huwa hufanya uchaguzi kila baada ya miaka 5 lakini kwenye kipindi cha uchaguzi viongozi wetu wa dini wamekuwa wakitushawishi kuwa tumchague kiongozi wa dini yetu aka...
Mara moja moja huwa naenda kuabudu katika moja ya makanisa ya maombezi na uponyaji hapa Arusha. Sasa, mchungaji wa kanisa hili amekuwa akinitongoza kila mara anionapo na hata kwa simu. Mwanzo...
Hapo zamani baba aliniaminisha kuwa ualimu ni moja ya fani adhimu duniani na ni kazi iliyojaa wito, upendo na uvumilivu kwa wanafunzi, na kuwa moja kati ya somo la msingi linalofanya mwl. awe na...
Kuna baadhi ya watu wana kasumba ya kuteta kwa lugha isiyofahamika vizuri na wote katikati ya mazungumzo ya kundi lenye mchanganyiko wa watu.
Nataka kusema kwamba, wakati fulani mnaweza mkawa...
Katiba ya "inji" NO [emoji777]
Katiba ya Chama YES [emoji818]
Bunge Live NO [emoji777]
RC Bashite Live YES [emoji818]
CNN, BBC NO [emoji777]
SHILAWADU YES [emoji818]
Kutembelea wafungwa NO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.