RZ si ndio mgodi uliofukia watu juzijuzi? Hawa lazima washughulikiwe wanadhani mfanyakazi akifa leo Geita kesho anafufuka Kishamapanda,wakaguzi waangalie tena usalama wa huu mgodi
Asante kwa taarifaHabari zilizothibitishwa na RPC M.Mwabulambo zimesema kuwa Wachimbaji wawili wanaofanya kazi katika mgodi wa RZ wamepoteza maisha kwa kupigwa shoti ya umeme wakati wa harakati za kutoa tope jana (Jumatano) usiku.