KAULI zilitoka tatu,ya JPM kwamba hata kama ni ikulu inadaiwa ikatiwe na zanzibar walipe deni la sivyo gizaaaaaaaaaa
Then Tanesco wakaipa Zeco two weeks kulipa na deadline ni tarehe 23 next week...
1. Ni mahali ambapo watu hukuomba urafiki lakini mkikutana mtaani wanakupotezea kama hawakujui.
2. Ni mahali ambapo kila mahusiano yapo perfect kama ya ndotoni.
3. Ni mara chache kukuta mtu yupo...
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakataza mtanzania yeyote yule kumiliki
uraia wa nchi mbili
Ni kosa kubwa kisheria kumiliki Hati za kusafiria(Passport) za nchi mbili tofauti
Mtanzania...
Kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa na Dr Leakey na mkewe wanabainisha kuwa fuvu la mtu wa kale duniani lilikuwa Olduvai Gorge huko Arusha.
Kwa utafiti huu tunaweza kujiuliza maswali kama:
Je, ni...
Tuwe wasema kweli pia Tunaomba UKWELI uheshimiwe.
Hii nchi tumeishi kwa upendo toka mwanzo, kama vyama vingi ni kelele masikioni mwa baadhi basi ipelekwe hoja vifutwe.
swala LA kutotembeleana...
Maisha yanazidi kuwa magumu mtaani baada ya bidhaa muhimu kuzidi kupanda bei.Mchele, maharage, unga,gesi bei zipo juu.
Sasa jana nilienda kununua sukari kwa mangi nikakuta bei imepanda tofauti na...
Pongenzi hizi ninazitoa kwako Mweshimiwa rais pamoja na timu yako yote huko serikalini.
Pongenzi hizi ni kwa ajili ya namna ulivyoweza kushughulikia. suala la kurejesha uaminifu kwenye Bandari...
Naona Halotel biashara imewanogea kila siku wanapunguza ukubwa wa bundle, leo ghafla Tshs 1000 unapata MB 300 from 450 and before that ilikuwa 650MB per day. Halotel msitufanye mazoba tena na...
Wakuu,
Mimi huwa nashangazwa sana na wauza kahawa wa Tanzania .Huwa wanaweka kahawa kwenye birika la aluminium halafu chini wanaweka mkaa ili kahawa isipoe, sasa ninachojiuliza ni kwa nini...
Habari wana Jf...
Mimi niliajiliwa miaka saba iliyopita.....kwa kweli hili swala LA vyeti linanikondesha na linapelekea kupoteza furaha yangu kila nikumbukapo yale maneno aloyatamka Mkuu Wa...
Habarini za jioni wapendwa wangu,
Kuna hii teknolojia ya kuweza kumtrack au kumnasa mtu mahali alipo, simu na message zinazoingia kwake kulitia simu yake ya mkononi. Kuna mtu namdai million 70...
Kama tungeajiri mwaka jana May kama ilivyotangazwa bungeni, hadi sasa tungekuwa tumewalipa waajiriwa wapya zaidi ya billion mia sita ambazo zinatosha kugharamia mchakato wa elimu bure ambao kwa...
*"Naomba kila mtu asogeze kiti mbali na mwenzake, sitaki watu wasogeleane na nikiona mtu anadanganya kwa namna yeyote, huo ndo utakuwa mwisho wa semister yako",*
_wote walimjua vema huyu profesa...
Facebook
Twitter
Google+
pic.twitter.com/VkkFzKUjnU
— Dr. Kigwangalla, H. (HKigwangalla) March 5, 2017
Among his other Twitter remarks:
This kind of anti-gay attitude is part of Tanzania's...
Mkuu wa Mkoa Paul Makonda yupo katika maadhimisho ya mwaka mmoja tangu awe Mkuu wa mkoa.
Nani kagharamia maandalizi ya hiyo hafla wakati falsafa ya rais wetu ni kubana matumizi?
RC live...
Wana JF
Nimeangalia picha za RC Makonda akizunguka maeneo mengi yaliyokumbwa na mafuriko na huku akiwa anaruka mitaro kuna mtu kama baunsa hivi lakini cha ajabu sioni Timu ya administration ya...
Huu ni uongo wa kupindukia. Hii tabia ya kutafuta namna ya kutoka kwenye udhalilishaji inamsumbua ndugu yetu, hivi viongozi wa Ki Afrika wamelogwa na nani kushindwa kuomba msamaha na kuwataka...
Akizungumza leo kanisani kwake, Ubungo, jijini hapa, Gwajima alidai kosa la kwanza la Makonda ni kughushi cheti ambacho kinaonyesha yeye ni Paul Makonda wakati akifahamu kuwa yeye ni Daudi...
Mtu unajiunga na kifurushi cha intanet halafu ukitaka kutumia ni ku load wee utafikiri maonyesho! sijatumia hata mb 1 toka nimejiunga hasubui! dah! Huu ni upuuzi na inakera dadeki. Halafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.