ndanda masasi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 772
- 1,177
Tutegemee tetemeko la kisiasa. (19000)
Hawezi kuwa Mkuu wa mkoa. Mwisho mwezi sita binge la bajeti. Akikosekana basi waziri Mkuu hana kazi. Tutamuondo kwa kura ya jutokuwa na imani naye.Hata mimi nadhani hadi 2020 bado atakuwa ni RC wa DSM.