Mrisho Mpoto amewataka watanzania kutazama utendaji wa Makonda na si vyeti vyake pasipo kujua kwamba kufoji au kutumia vyeti vya kitaaluma vya mtu mwingine kujipatia kazi, cheo, sifa yoyote ile ni kosa kisheria!!
Najua Mrisho Mpoto anachanganya mambo kwa sababu hajasoma hivyo haoni umuhimu wa vyeti ikiwa mtu ni mtendaji mzuri! Kwa Mpoto kwa hili amepotoka atuache wenye vyeti tuzungumze ,,Mawazo yake ni hatari kwa taifa! Kwa dunia ya leo uwezi chagua jiongozi kwa nafasi mkuu wa mkoa bila CV ya elimu japo kwa kiwango fulani au professional skills kama jeshi au polisi ambapo leo haiwezekani ukapata zero ukapata nafasi kwenda jeshi au polisi labda ufanye magumashi kama zama zilizopita!!
Kutolea maoni jambo kwa inferiority complex si vizuri!! Ukweli lazima usemwe hata kama unauma, wangapi wameacha kazi kwa aibu tena wakiwa wamebakiza miezi kustaafu wakiwa wametumikua taifa kwa kiwango cha juu na uzalendo mkubwa kwa sababu tu ya vyeti!!!