Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kamoga ni kiongozi na mbunifu nsana katika kazi zake. Inatamabisha asikike akiongelea uvamizi ofisi aliyokuwa akiitumikia. Nadhani kamoga na kusaga na Ruge ni familia huku akiwa serikalini...
0 Reactions
1 Replies
891 Views
Salaam, Kwenu wana JF wenzangu, Awali nimshukuru Mungu muumba wa Mbingu na nchi. Ni mwalimu nilieandika ujumbe huu .Nafanya kazi J3-Jmos .Naenda kazini saa 12 kurudi saa12 jioni .Mshahara...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna mtu / watu wanajaribu kutetea wauza unga mpka najiuliza " Hivi Watanzania kwnn ni VICHWA MAJI? Chokochoko dhidi ya RC Makonda khusu vyeti imeletwa na mtuhumiwa Yule Mpuuzi, maana hana...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimejikuta nawaza mbali sana, kama Mh Rais ambaye alikua kila mara akipiga simu CloudsTv na kupongeza mara kwa mara, baada ya tukio la uvamizi, mpaka sasa sijaona Mkuu akipiga simu hata kutoa pole...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
DSLR
0 Reactions
0 Replies
540 Views
Lori aina ya Fuso, likiendeshwa na 'tanboy', baada ya kumuomba dereva funguo la gari na dereva kumkatalia, lakini alichukuwa kwa nguvu funguo. Fuso hilo lilivamia maduka hayo, katikati ya jiji...
0 Reactions
1 Replies
926 Views
  • Poll Poll
Mandhari ya kuvutia sana itaoneka angani alfajiri ya Alhamisi hii tarehe 7 Januari, jirani na upeo wa mashariki kuanzia saa kumi na nusu alfajiri. (Angalia picha iliyoambatishwa) Sayari mbili...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Kumekuwepo na mtazamo wa kitoto sana kwa watu wanaosapoti Maovu anayoyafanya RC wa Dar es Salaam, kwamba wanaompinga kwa matendo yake, kwamba ni wale wanaouza au kushirikiana na wauza madawa ya...
4 Reactions
0 Replies
860 Views
Nimewaza nikawazua je Mch. Mtikila aliyekuwa kiongozi wa DP angekuwa hai nini kingetokea kwa sagas zinazoendlea sasa nchini? Au ili kumnyamazisha naye angetajwa kwenye orodha. Tunawahitaji angalao...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sina maneno mengi. Watazamaji wa Azam TV watakuwa mashahidi wa hili. Kwa muda mrefu sasa Azam two hawaweki nembo ya live au mubashara kwenye matangazo yao ya moja kwa moja. Hili linafanya wakati...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kuandika kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu, kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile...
0 Reactions
0 Replies
719 Views
Naipenda nchi yangu ila nashindwa na haya maisha. Nisaidieni niishije Tanzania kama sipo Tanzania? Nipeni mbinu.
0 Reactions
2 Replies
725 Views
Tunaanza kuisoma taratibu.. Walianza EFM kumsema makonda vijana wa lumumba wakasema ati wanatetea boss wao kwa kuwa anauza madawa Leo tena kwa kejeri nimesikia clouds kipindi cha xxl wakisema...
30 Reactions
114 Replies
17K Views
Nadeclare interest kabla ya kutoa maudhui ya somo hapo juu kuwa binafsi ni mdau wa Elimu na ni mwezeshaji. Adhabu hii ya viboko licha ya kuwekewa sheria na taratibu bado walimu wa shule hasa za...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Hadi sasa sina uhakika kama kuna mtanzania asiekuwa na na dini au ambaye haamini uwepo wa Mungu. Kwa bahati mbaya sana kwa kawaida wanadamu na hususani Watanzania ni wakati wa kampeni tu ndio...
0 Reactions
3 Replies
987 Views
Kituo cha sheria na haki za binadamu kupitia kwa mkurugenzi wake mkuu, Dk Helen Kijo-Bisimba kimesema wamepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za RC Makonda kuingia ofisi za Clouds Media akiwa na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Uwezo wa Adolf Hitler ulimfanya kuishawishi ujerumani kumpa madaraka!kwa kutumia madaraka yake aliikuta sheria iliyokuwa haitekelezwi na watangulizi wake,yeye aliamua kutekeleza sheria ile bila...
1 Reactions
8 Replies
923 Views
naimani kitendo kilichofanyika clouds hakikufanywa kwa ustadi na kimsingi kilipaswa kufanywa na special forces au secret services. hivyo kusababisha kubaki kwa footage ya tukio zima. kwanza...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Alichokifanya RC. Paul Makonda hakina tofauti na wale waasi wa kijeshi tunaowaona kwenye nchi nyingine wanateka TV station kutangaza mambo yao. Leo unamuachia kiongozi wa mkoa anafanya mambo...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi Rais anavyosema hapangiwi na kwamba yeye ndio yeye, au alienda peke yake kuchukua fomu. Anasahau kwamba ni mtumishi wa wapiga kura? Kura za wananchi ndio zimemuweka hapo. Ni mtumishi sio mtawala
1 Reactions
2 Replies
821 Views
Back
Top Bottom