naimani kitendo kilichofanyika clouds hakikufanywa kwa ustadi na kimsingi kilipaswa kufanywa na special forces au secret services. hivyo kusababisha kubaki kwa footage ya tukio zima.
kwanza, kabla ya kuingia walipaswa kuwa na kifaa kinachoitwa IR signal jammer, hiki kifaa kingezima sensor za cctv camera na kushindwa kurecord tukio zima hivyo kupoteza ushahidi.
Pili, walipaswa kuondoka na pvr ya cctv camera na kubadili HDD na kuhakikisha hakuna footage itakayobaki.
Tatu, baada tu ya tukio walipaswa kumwita mmiliki na kumpoza muda ule ule na kujifanya lilikuwa jambo la kawaida na kuwa labda alighafirika tu hivyo kumalizana kimya kimya na kama wangekataa basi ingeonekana kulikuwa na mabishano ya kawaida tu.
Kwani hata baada ya wamiliki kufika waliomba waombwe samahani jambo ambalo lingepaswa kufanyika kwa haraka na kupiga magoti kuhakikisha tukio zima halisambai na likisambaa basi liwe fununu tu.