C Clemence Baraka JF-Expert Member Sep 4, 2012 1,694 650 Mar 22, 2017 #1 Naipenda nchi yangu ila nashindwa na haya maisha. Nisaidieni niishije Tanzania kama sipo Tanzania? Nipeni mbinu.
Naipenda nchi yangu ila nashindwa na haya maisha. Nisaidieni niishije Tanzania kama sipo Tanzania? Nipeni mbinu.
Small Axe JF-Expert Member Dec 17, 2016 652 464 Mar 22, 2017 #2 Nenda shambani..kalime kafuge ila usichungie kwenye mashamba ya wengine