Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nlikuwa naangalia footage moja ikizungumzia waandishi wa habari walioenda TCR kuonana na Ndugu Nape Waziri kwa ajili ya lile sakata la watu kuvamia studio ya clouds wakiwa na silaha kali na kupora...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Nimesoma mahali kwamba kundi lile lile lililopigana wakati wa Richmond linapigana tena kupitia madawa ya kulevya. Ila ninachoona awamu hii mmmh...sijui! Maana jamaa ni ngangari balaa hayumbishwi...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Habari zenu wadau wa Jf. Naamini mtandao huu unasomwa na watu wengi wa kada mbali mbali hapa nchini na hata nje ya nchi hii. Utafiti mdogo nilioufanya mkoani Dodoma (Utafiti binafsi na siyo...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Sanaa ya muziki hutumika kufundisha, kuonya; kuelimisha na kuburudisha jamii ama mtu binafsi. Kulingana na hali inayoendelea nchini kwetu kisiasa, kiuchumi na kijamii pia kulingana na mtazamo...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Askofu Josephat Gwajima mapema leo ameitwa na kuhojiwa kwa muda na Idara ya Ustawi wa Jamii nchini
1 Reactions
86 Replies
17K Views
Toka jana jioni naona picha zinaganda kwa muda mrefu na king'amuzi kinashindwa kung'amua. Kulikoni huko DSTV jamani?
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Katika hali isiyo ya kiutu kabisa,Chama cha mapinduzi(ccm) ni chama cha wakulima na wafanya kazi na % kubwa ya watanzania ni wakulima wakifuatiwa na wafanya kazi,wote kama watanzania tumekuwa...
34 Reactions
131 Replies
12K Views
Kukwama kwa mradi mkubwa wa maji wa zaidi ya shilingi Bilioni 6 ulioanza mwaka 2009 na kutakiwa kukamilika mwaka 2011 kumesababisha wananchi 32,811 wa vijiji saba wilayani Songea mkoani Ruvuma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi mukulu unaweza muelewa kweli 90% ya contents za shilawadu zinatoka mitandaoni na yeye amesema kua ni shabiki shilawadu nimeshindwa kumuelewa akiwa anaangalia shilawadu vijana wale habari za...
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Baraza la bakwata wilaya ya Arumeri,bakwata limemwandalia mapokezi makubwa waziri Nchemba katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi katika shule ya awali ya bakwata wilayani humo. Mwenyekiti wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi huyu Mkuu wa Mkoa wa Dar hao TAKUKURU hawajasikia tuu au hizi sheria kwa raia wa kawaida tu. ===== Moshi. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imewaburuza kortini watu...
6 Reactions
78 Replies
8K Views
Akizungumza wakati wa ibada maalum ya kuhitimisha mchakato wa kumtaka Mokiwa ajiuzulu leo, Askofu mkuu wa Anglikana nchini, Dk Jacob Chimeldya amesema leo ndio mwisho wa mchakato huo na watu...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Mhe. Naibu Waziri wa Ardhi na Makazi na Mbunge wa Ilemela tumekulilia, tumekueleza kupitia mikutano yako na tumekuandikia kuwa wananchi tunaoishi kando kando ya barabara itokayo kwenye kona ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The lady in the picyures below was a lover to the suspect on handcuffs chain. She was found after 8 good months inside a tank where her boyfriend kept her for money ritual. She was being fed...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mrng.. Hili daraja sioni faida yake, as long serikali inahamia Dodoma, traffic jam itapungua sana... Badala yake kusave pesa wapanue Salender Bridge tu... Seriously, mm mwana mpendwa wa CCM, ila...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Nimefanya utafiti kwenye mitandao na magazeti jina la mheshimiwa makonda limetajwa mara nyingi kushinda kiongozi ama mwanasiasa yeyote kwa muda wa miezi 3 Hongera mheshimiwa
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nakumbuka kuna vedeo ya hutuba ya baba wa taifa akizugumzia umuhimu wa uwajibikaji na kuhusiana tukio la waziri mmoja wa UK, aliye tuhumiwa na Uhusiano wa kimapenzi na secretary wake ndio waziri...
0 Reactions
0 Replies
744 Views
Roma Mkatoliki: Huyu bwana siku hizi kaacha kabisa siasa, zile nyimbo zake za kimapinduzi haimbi tena kwa uoga wa kuitwa central. Mara ya mwisho kumsikia anaimba maswala ya ''K'' na kamatia...
3 Reactions
53 Replies
6K Views
Kama taifa wazee walipoanzisha harakati za kudai Uhuru na hatimaye tukaupata mwaka 1961 walikuwa na malengo. Upo uwezekano mkubwa kwamba sisi viongozi wa sasa tumewaangusha ninyi raia katika...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom