Tutamkumbuka sana Mtikila

lembu

JF-Expert Member
Dec 31, 2009
17,670
23,382
Nimewaza nikawazua je Mch. Mtikila aliyekuwa kiongozi wa DP angekuwa hai nini kingetokea kwa sagas zinazoendlea sasa nchini? Au ili kumnyamazisha naye angetajwa kwenye orodha. Tunawahitaji angalao akina Mtikila mmoja au wawili ili kubalance hali ya hewa
 
Huyo mzee ni mnafiki sana huyo alifanya jambo baya sana kumtukana lowassa kuwa ni marehem mtarajiwa

Huyo hata leo angekuwa mtumwa tu
 
Nimewaza nikawazua je Mch. Mtikila aliyekuwa kiongozi wa DP angekuwa hai nini kingetokea kwa sagas zinazoendlea sasa nchini? Au ili kumnyamazisha naye angetajwa kwenye orodha. Tunawahitaji angalao akina Mtikila mmoja au wawili ili kubalance hali ya hewa
Mkuu Gwajima anawatosha. Kama upele umemkuta mkunaji
 
Back
Top Bottom