Kwa Mara ya kwanza nimesikia jina la Daud na cheti vikitajwa Clouds FM

Aaron

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,019
4,693
Tunaanza kuisoma taratibu.. Walianza EFM kumsema makonda vijana wa lumumba wakasema ati wanatetea boss wao kwa kuwa anauza madawa

Leo tena kwa kejeri nimesikia clouds kipindi cha xxl wakisema cheti hakichachi ati bando linaweza kuchacha...na kulitaja kwa Mara ya kwanza mmoja akimtania mwenzake ati akimzingua atamuita Daudi aje amuoneshe kazi....

Sasa vijana wa lumumba njooni mseme tena kama na clouds wanatetea wauza unga.
 
Sakata la Mkuu wa Mkoa wa Dar la mda mrefu sana ila cha kushangaza kwa kipindi chote hicho clouds walikuwa kimya kuhusu Sakata hilo kama hawajui kinachoendelea.

Kwa kipindi chote hicho walikuwa hawazungumzii Sakata hilo na kufika mbali zaidi kwa kutosoma au kurusha habari zinazohusiana au kumuhusu makonda na Sakata la vyeti; Ila cha kushangaza baada ya kusambaa tuhuma za kuvamiwa na mkurugenzi wa CMG kutoa ufafanuzi juu ya tuhuma hizo Zinazomkabili mkuu huyo..

Wanapiga nyimbo za vijembe kwenye vipindi vyao na kufika mbali zaidi baada ya team XXL kusikika wakisema kauli hizi 'bila cheti inakua hatukuelewi' na kusema bundle la cheti hali cha chi. Mnaosikiliza XXL mtakuwa mashahidi

Swali: Siku zote walikuwa wapi kuongelea swala la makonda na skendo zake?

Huu ni Unafiki na mmeumbuka. Siku nyingine mjifunze msiegemee upande mmoja na kupelekeshwa kwa maslahi binafsi.
 
Tunaanza kuisoma taratibu.. Walianza EFM kumsema makonda vijana wa rumumba wakasema ati wanatetea boss wao kwa kuwa anauza madawa

Leo tena kwa kejeri nimesikia clouds kipindi cha xxl wakisema cheti hakichachi ati bando linaweza kuchacha...na kulitaja kwa Mara ya kwanza mmoja akimtania mwenzake ati akimzingua atamuita Daudi aje amuoneshe kazi....

Sasa vijana wa rumumba njooni mseme tena kama na clouds wanatetea wauza unga.
ni lumumba sio rumumba, asije akakusikia faizafoxy
 
Sakata la mkuu wa mkoa wa dar es Salam ni la mda mrefu sana ila cha kushangaza kwa kipindi chote hicho clouds walikuwa kimya kuhusu Sakata hilo kama hawajui kinachoendelea,

Kwa kipindi chote hicho walikuwa hawazungumzii Sakata hilo na kufika mbali zaidi kwa kutosoma au kurusha habari zinazohusiana au kumuhusu makonda na Sakata la vyeti;

Ila cha kushangaza baada ya kusambaa tuhuma za kuvamiwa na mkurugenzi wa CMG kutoa ufafanuzi juu ya tuhuma hizo Zinazomkabili mkuuhuyo ,

Wanapiga nyimbo za vijembe kwenye vipindi vyao na kufika mbali zaidi baada ya team XXL kusikika wakisema kauli hizi 'bila cheti inakua hatukuelewi' na kusema bundle la cheti hali cha chi

Mnaosikiliza XXL mtakuwa mashahidi

Swali :siku zote walikuwa wapi kuongelea swala la makonda na skendo zake

Huu ni Unafiki na mmeumbuku siku nyingine mjifunze msiegemee upande mmoja na kupelekesha kwa maslahi binafi.
 
Hii nguvu mpya kaka waache twende nao sawa tu
 
Back
Top Bottom