Sipangiwi

Scarlet Pimpernel

JF-Expert Member
Feb 22, 2017
576
402
Hivi Rais anavyosema hapangiwi na kwamba yeye ndio yeye, au alienda peke yake kuchukua fomu. Anasahau kwamba ni mtumishi wa wapiga kura? Kura za wananchi ndio zimemuweka hapo. Ni mtumishi sio mtawala
 
Kulalamika kwenye Mitandao haitakusaidia kitu..kama umechukizwa na kauli yake subiri 2020, malizana nae kwenye Chumba cha kupigia kura
 
Kulalamika kwenye Mitandao haitakusaidia kitu..kama umechukizwa na kauli yake subiri 2020, malizana nae kwenye Chumba cha kupigia kura

Pamoja na hayo lazima tuongee mpka hiyo 2020 tuwaelimishe na wengine. silence is not the answer
 
Back
Top Bottom