Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Alichokifanya RC. Paul Makonda hakina tofauti na wale waasi wa kijeshi tunaowaona kwenye nchi nyingine wanateka TV station kutangaza mambo yao. Leo unamuachia kiongozi wa mkoa anafanya mambo haya ya ajabu, kesho akija mwingine akateka tv akafanya mambo haya utamuweka ndani au utamuachia? Ningekuwa mimi Rais Magufuli, ningetengua uteuzi wa RC Makonda na ningemuweka ndani-