Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Familia kumi zimekimbia nyumba zao katika kijiji cha Muganza wilayani Kasulu mkoani Kigoma baada ya baadhi ya wakazi wa kijiji hicho kujeruhi watu wawili kwa mapanaga na kufyeka zaidi ya ekari...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimepewa taarifa na wanasiasa fulani na baadhi ya wadau wa maendeleo kuhusu umri wangu wa kuzaliwa. Kimsingi mimi nimezaliwa mwaka 1980 na hata vyeti vyangu vyote vya kliniki na ubatizo vina umri...
4 Reactions
64 Replies
6K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI THBUB yalaani uvamizi wa studio za Clouds Media Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imepata taarifa kupitia vyombo vya habari kuhusu uvamizi wa kituo...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Mpaka sasa Nimepata moyo mkubwa sana na baadhi ya Viongozi na Wanachama wa CCM kua mstarii wa Mbele kusimamia Ukweli bila Kujali Itikadi wala vitisho kutoka kwa Viongozi wakuu wa Chama chao...
8 Reactions
36 Replies
5K Views
Baada ya kuona mtuhumiwa kalindwa na mkulu pamoja na uongozi wa Clouds media kuthibitsha kuvamiwa na mkuu wa mkoa ikiwa ni pamoja na ushahidi wa video kusambaa bado mkulu kaona ni habari za udaku...
30 Reactions
206 Replies
19K Views
Je huyu Magufuli ameshatukumbuka maana kazini ameongeza Masaa ya kuchapa kazi katukumbuka?
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Nilisikiliza kwa makini kipindi chote alichotumia Ruge kuueleza umma kile walichokiita KILE KILICHOTOKEA. Ruge aliulizwa swali muhimu sana na mmoja wa walioshiriki kipindi hicho. Swali lilikuwa...
13 Reactions
100 Replies
14K Views
Poleni na majukumu wana JF, Kila kukicha sikosi kuona uzi wa member kuzungumzia vyeti vya PAUL MAKONDA mpaka hufikia kuchoshwa na swala hili la nyeti. Sasa nimewaza kwanini tusiache kwanza mambo...
6 Reactions
71 Replies
5K Views
Leo asubuhi Kibonde amesikika akimkashifu Askofu Gwajima Kwamba anatumia Ganja,mimi navyoona amekifanya chombo chenu hakina maadili kwa sababu yeye mwajiriwa wa Clouds media, Kama angetaka kuweka...
5 Reactions
76 Replies
11K Views
Please, sign in the petition, and share to your friends huyu mtu aachie ofisi ya umma. To sign the petition, follow the link below. I just signed the petition: "PAUL MAKONDA NEEDS TO GO NOW!!!!!"...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Natural justice advocates that it's a natural right for one accussed of something to have a chance to respond or say his or her own version of the Truth (Defence) .But how Come that one decides to...
0 Reactions
0 Replies
411 Views
Kesho Askofu atakuja Efm asubuhi ili kutoa pole kwa wanahabari kwa kuvamiwa na kikosi cha Askari kikiongozwa na mkuu wa mkoa wa Dar.
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Ivi uchunguzi wa kesi ukifanyika ukamalizika ripoti inaenda mahakamani au kwa mkuu wa nchi?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, Hivi karibuni mfuko wa hifadhi ya jamii wa PPF, umesitisha lile fao la kujitoa kwa mwanachama baada ya kuwa hana ajira. Fao hili lidaiwa kuwa msaada na mkombozi kwa wanachama kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tumekua tukia aminishwa na baadhi ya rafiki zetu kua endapo utajiunga na forever living basi maisha yako yatabadilika. Utakuwa tajiri kwa mda mchache.vijana wengi wakakopa na kuanza fanya...
13 Reactions
87 Replies
16K Views
Kwanza kabisa nimetafakari upinzani mkubwa nitakao kumbana nao katika hii post lakini siku zote mwanaume hueleza fikra zake na liwalo na liwe. UTANGULIZI Mie ni mwana CCM ila ninayemuunga...
5 Reactions
65 Replies
6K Views
Jeshi la Polisi nchi limeanzisha mfumo wa kukusanya pesa kwa njia ya EFD ambao ni utaratibu mzuri na wa wazi katika kuhakikisha pesa hio haiishii kwenye mifuko ya wachache. Hata hivyo hali ni...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi naamini social network au social media ni sehemu ambayo kiongozi unaweza kupata kero nyingi na mambo mengi yanayowakumba au kuwa kero kwa wananchi unaowatumikia, siyo rahisi kwa kiongozi au...
0 Reactions
1 Replies
906 Views
Mlitoa taarifa kwamba mtambo wa Luku unafanyiwa maboresho, kuanzia jpili usiku mpaka j3 saa tatu asubuhi, Lakini chakushangaza mpaka leo tar 22 juma tano bado luku haipatikani! tunaomba...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom