Jamani kama heading inavyo jieleza naweza jenga kanyumba simple ka vyumba viwili sitting room na choo na bafu kwa milioni 12 naomba kujua kutoka kwa wataalamu
Makamu Askofu Wa Jimbo la mashariki Wa Tanzania assemblies of God Na mchungaji kiongozi Wa Temboni TAG Meshack Mafwele amepata ajali wakati akielekea kwenye maombi kanisani ambayo yalikuwa...
Salamu kwenu wakuu
Kichwa hapo juu kinajieleza, naomba kupatiwa msaada wa kutengeneza blog ya taasisi(shule) ili kurahisisha upatikanaji wa taarifa kwa wazazi na watu wengine. Naomba kujulishwa...
Kwa Mujibu wa waziri Mwakyembe
Vita ya madawa ya kulevya ni ngumu sana
Kuna kijana anaitwa NJINGU huyu alikuwa pale Airport Dar kitengo cha usalama ndiye aliyemsaidia Mwakyembe kukamata madawa ya...
Nimeona eti gazeti la mwananchi linapunguza wafanyakazi kwakuwa sijui mapato yameshuka. Mimi binafsi hela ya kununulia gazeti huwa naitumia kununulia bando ili nimalize kila kitu ntandaoni...
Mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm mh nape nnauye amesema hofu ya kutokuwa na MUNGU ndio chanzo halisi cha mafisadi...akiongea katika uzinduzi wa albamu ya mwanamuziki wa nyimbo za injili UPENDO...
Watu wanatoka kabila moja,mmoja ni ameketi kwenye kiti cha enzi kikubwa,mwingine kiti cha enzi cha Kanda kuu ya biashara.Mwingine kanisani.Hivi hawa watu mwaka mmoja tu wanatuvuruga namna hii ina...
Bodi ya mikopo ilitoa siku 14 kwa bodi ya mikopo kuacha kukata asilimia 15% kwa wafanyakazi na kurudisha pesa iliyokatwa zaidi (7%) kwani hapo mwanzo makato yalikua ni 8% tu..
Kitu kingine ni hili...
Picha zinakuja sasa hivi ila Ajali imetokea Sasa Hivi maeneo ya Magomeni na Kuna foleni sana kwa watu wanaotoka mjini kwenda Manzese kipande hiki mpka maeneo ya Friends coner kwenye Hotel ya JUMBA...
Ni matusi mazito kwa intelijensia ya nchi kwamba kuna mteule wa Rais ambaye alighushi vyeti vya Elimu, kitendo ambacho ni kosa la jinai.
Tunatambua kuwa Viongozi ni kioo cha jamii. Wao ndio...
Habari wanajamvi.....
Kumekuwa na tuhuma dhidi ya Makonda kuivamia Clouds TV siku ya ijumaa kwa kuwalazimisha shilawadu kurusha story za Gwajima na Mwanamke aliyezaa nae according to taarifa...
Mpendwa Rais Dr shain. Naomba sana weka mashine ya ukaguzi bandari ya Zanzibar kwa abiria wanaotoka Dar es Salaam au wanaokwenda Dar es Salaam. Inatia aibu unafungua begi wale maaskari wanaangalia...
Askofu Gwajima Aieleza Mahakama Ya Kisutu Kuwa Alitaka Kuchomwa Sindano Bila Ridhaa Na Ofisa Mmoja Wa Polisi
Askofu wa kanisa la ufufuo na uzima, Josephat Gwajima ameieleza mahakama ya hakimu...
Ni kwa mujibu wa instargram page yao
Ni leo SAA tatu,usikose
Umoja ni nguvu....watanzania wameungana,vyombo vingine pia viandae makala
Hakuna lisilowezekana,
Wamisri walivuka bahari kwa miguu...
Kutokana na ukweli kabisa kuwa Gwajima alitangaza hadharani kuwa ndugu Daud A. Bashite alinunua cheti cha mtu mwingine na kukitumia kujiendeleza kielimu na kubadilisha majina na kujulikana hivi...
Upendeleo,oppresion Si Kwa Government Hii Semina Kwa Wote Chuki Visasi Umimi Havijengi Vitabomoa Siku Isiyo Na Jina 3d Eye Beware Of It.Ukitaka Kula Na Kipofu Usimshike Kwa Hand Ukikaza Nakaza...
Ukiwa Baba Mkali kwa watoto wako, lakini kuna mtoto mmoja anafanya ufala halafu unakaa kimya kisa ni mtoto pendwa, wale watoto wengine watakudharau sana. Watakuwa wanakubali amri zako kwa sababau...
Nlikuwa naangalia footage moja ikizungumzia waandishi wa habari walioenda TCR kuonana na Ndugu Nape Waziri kwa ajili ya lile sakata la watu kuvamia studio ya clouds wakiwa na silaha kali na kupora...
Nimesoma mahali kwamba kundi lile lile lililopigana wakati wa Richmond linapigana tena kupitia madawa ya kulevya.
Ila ninachoona awamu hii mmmh...sijui! Maana jamaa ni ngangari balaa hayumbishwi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.