Sina maneno mengi.
Watazamaji wa Azam TV watakuwa mashahidi wa hili.
Kwa muda mrefu sasa Azam two hawaweki nembo ya live au mubashara kwenye matangazo yao ya moja kwa moja. Hili linafanya wakati mwingine mtazamaji asijue kama matangazo ni ya moja kwa moja au la. Tafadhali wahusika, iwe ni Azam wenyewe au kama ni TCRA watueleze.
Asanteni.