Wilson Joseph
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 309
- 274
Salaam,
Kwenu wana JF wenzangu,
Awali nimshukuru Mungu muumba wa Mbingu na nchi.
Ni mwalimu nilieandika ujumbe huu
.Nafanya kazi J3-Jmos
.Naenda kazini saa 12 kurudi saa12 jioni
.Mshahara wangu makato yake ni nusu ya mshahara ikiwa sijaenda NMB kwa loan
.Ni mlaumiwa mkuu matokeo yanapokua mabaya japo ukweli mtihani hua wafanya wengine(wanafunzi) lakini lawama kwangu na ikitokea wamefaulu vizuri wanafunzi basi mwanafunzi ndo atatangazwa news stations zote
.Ni sisi ambao tunahimizwa kujiendeleza lakini eti kila kata kwa mwaka itoe mwalimu mmoja na ukute kata ina walimu kama 70 utapata nafasi lini?
.Ni sisi ambao tunaambiwa tutumie fursa vijijini kuna fursa kibao lakini ajabu ananipa ushauri huo anaishi pale manispaa
.Ni sisi ambao ukipata bahati ya kustaafu basi kupata mafao yako utafatilia karibu robo ya miaka ya utumishi wako
.Ni sisi ambao lazima kuchangia mwenge kuchangia ghalama za chakula kwa DEO akitembelea kata yenu (kwa baadhi ya maeneo) eti ni ukarimu
.Ni sisi ambao tuna madai yaso na ukomo. Ni sisi ambao kila kikao mkikutana basi ni kupeana amri na makatazo mapya ila huwezi sikia siku kikao cha nyongeza na posho kwa walimu
.Ni sisi ambao agizo likitoka kwa mkuu wa nchi basi sie hua ndo wa mwisho kutokea
.Ni sisi ambao tunatishwa sana na ndo maana walimu ni waoga hawezi sema kutetea haki ake kwa hofu ya kupata vikwazo kazini au kihamishwa
.Ni sisi ambao hatuna shift ya kazi yani tangu asubui adi jioni siku tano za kazi nipo kazini
.Ni sisi tunaodharauliwa hata na watoto na tuna namna nyingi za mutukanwa wenyewe mashaidi kwa idadi ya clip za vituko vya walimu kule wasap fb na insta
.Ni sisi ambao tunafundisha watoto ambao hawataki ata skia mambo za ualimu
Zote hizi ni kwa asilimia kubwa ya walimu wa Tanzania hususani vijijini
kadhia ni nyingi mno.